Magufuli aanza kazi J2 kwa vitisho......Kweli aanza vibaya......

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,173
Taarifa ya habari ya saa moja jioni ya leo ya TBC1, Waziri wa Miundo mbinu Dr. Magufuli amesambaza Ilani ya uchaguzi za CCM kwa watendaji Wizarani kwake katika hali inayoonyesha anachapa siasa zaidi na kuwataka watendaji wote kwenye Wizara yake kuisoma, kuielewa na kuifuata..................au vinginevyo waache kazi au wataondolewa.....................

Vile vile amesimamisha zoezi la ajira mpya TANROADS katika hali inayoonyesha mwingiliano kati ya Bodi ya Wakurugenzi na Wizara Mama.............Kiutaratibu Wizara Mama haipaswi kujiingiza katika shughuli za kiutendaji za TANROADS..........Hayo ni majukumu ya Bodi na Menejimenti.......

La kusikitisha zaidi ni sababu alizozitumia katika kuhalalisha Uongozi wa Wizara kuingilia zoezi la ajira mpya za Wahandisi wa Mikoa wa TANROADS............alidai wao wanataka barabara zijengwe tu..........kama vile waliopo kazi hiyo huifanya kwa ufanisi wakati sivyo hata kidogo..................

Magufuli anashindwa kuelewa ya kuwa ni sera ya TANROADS ili kuimarisha ufanisi ajira ni za mikataba na kama watendaji wataelewa ajira ni za kudumu hawatakuwa na motisha wa kuongeza ufanisi...............................Pia TANROADS ina kashfa nyingi za matengenezo bomu ya barabara ikilinganishwa na fedha ambazo serikali hutumiwa kwenye shughuli hizo zikiongeza kasi ya umuhimu wa kuubadilisha uongozi mzima wa TANROADS....................

Mbaya zaidi, zoezi la mabadiliko ya uongozi ndani ya TANROADS yamekuwa yakipingwa na wabunge hususani Bunge la 9 kwa sababu hizohizo za kujenga barabara wakati barabara nyingi ni bomu................hii yaashiria Regional Engineers na watendaji ndani ya TANROADS wana sauti kubwa kuliko hata Bodi yao ya wakurugenzi katika kuchelewesha mabadiliko ya uongozi ndani ya TANROADS kwa masilahi yao binafsi tu......Kwa mwelekeo huu usitegemee jipya kutoka kwa Magufuli........aonekana ni mchovu sana kifikra na sasa ategemea jina kuisukuma Wizara hii atakako..........
 
umeanza vizuri ila ume comment vibaya kwa magofuli.
Kama uko makini na serikali magofuli hawezi kufanya vizuri kwenye uongozi wake kama hata iboa TANROADS na kuiunda upya. Hiyo ndo tasisi ya ujenzi ambayo ina mapungufu makubwa sana katika nchi yetu. Magofuli yupo sawa kabisa maana TANROADS imeoza.
 
Mwache aje sera zake za CCM kama ni kweli hayo uliyo yasema basi wakati ukuta tuko naye na tutajua la kufanya lakini kama yana manufaa kwa Taifa wacha yafanyike ila kama kwa manufaa ya CCM na uchache wao watakabiliana na nguvu ya Umma watanzania hawajalala
 
Magufuli ni mchapa kazi tusianze kumshambulia mapema. Nadhani tunatakiwa kumsoma mstari kwa mstari kwa kila sentensi anayoisema na kuitafakari maana yake kuliko kukurupuka na kuanza kumtolea comments. Tusubiri tuone kasi yake zaidi km itabadilisha mwenendo wa mambo.

TANROADS is rotten inatakiwa kusambaratishwa haraka sana, hata ningekuwa mie ningeanza nao sambamba. MAGUFULI is RIGHT.
 
umeanza vizuri ila ume comment vibaya kwa magofuli.
Kama uko makini na serikali magofuli hawezi kufanya vizuri kwenye uongozi wake kama hata iboa TANROADS na kuiunda upya. Hiyo ndo tasisi ya ujenzi ambayo ina mapungufu makubwa sana katika nchi yetu. Magofuli yupo sawa kabisa maana TANROADS imeoza.

mbona lalipouza nyumba za serikali hamkusema "end justifies the means"??? sasa hata atakapouza mgreda yote ya serikali kama aliyouza zile nyumba mtasema "end justify the means"!! jamani waTZ mna tatizo gani kwenye mbongo zenu????

hauyu ni kati ya makosa makubwa aliyorudisha kikwete!
 
Nafikiri tumpe muda tuone. Kumbuka watu wengi huwa wanatumia nafasi kama hizi kupachika watu wao kwenye nafasi nyeti kabla uongozi mpya haujaanza kazi in full swing! Ukikuta wameishapewa mikataba huna la kufanya hata kama una uhakika si watendaji wazuri.

Wote tunakubaliana kuwa TANROADS kuna tatizo na pale taifa linaelekeza fedha nyingi sana kuimarisha miundombinu. Ni vyema umakini uongezwe katika usimazi wa TANROADS!
 
Unawajua TANROADS kwa rushwa? mbona umetoa judgement haraka sana, magufuli at least tumpe muda ni mchapakazi, i said atleast, sasa
mm ni CDM, TANROADS is the worst acha awapige full stop kuajiri, ndio maana nasema unawajua vizuri TANROADS? nikutahadharishe tu RUSHWA kubwa sana duniani kote ipo sekta ya ujenzi, barabara, reli, bandari, airports, magorofa nk ( INFRASTRUCTURE)
 
Akrudisha nyumba za serikali walizouziana kwa bei ya samaki ndo ntaanza kumsikiliza, vinginevyo walewale kina Mrema, kelele nyingi kwa nyuma analamba rushwa
 
Taarifa ya habari ya saa moja jioni ya leo ya TBC1, Waziri wa Miundo mbinu Dr. Magufuli amesambaza Ilani ya uchaguzi za CCM kwa watendaji Wizarani kwake katika hali inayoonyesha anachapa siasa zaidi na kuwataka watendaji wote kwenye Wizara yake kuisoma, kuielewa na kuifuata..................au vinginevyo waache kazi au wataondolewa.....................

Vile vile amesimamisha zoezi la ajira mpya TANROADS katika hali inayoonyesha mwingiliano kati ya Bodi ya Wakurugenzi na Wizara Mama.............Kiutaratibu Wizara Mama haipaswi kujiingiza katika shughuli za kiutendaji za TANROADS..........Hayo ni majukumu ya Bodi na Menejimenti.......

La kusikitisha zaidi ni sababu alizozitumia katika kuhalalisha Uongozi wa Wizara kuingilia zoezi la ajira mpya za Wahandisi wa Mikoa wa TANROADS............alidai wao wanataka barabara zijengwe tu..........kama vile waliopo kazi hiyo huifanya kwa ufanisi wakati sivyo hata kidogo..................

Magufuli anashindwa kuelewa ya kuwa ni sera ya TANROADS ili kuimarisha ufanisi ajira ni za mikataba na kama watendaji wataelewa ajira ni za kudumu hawatakuwa na motisha wa kuongeza ufanisi...............................Pia TANROADS ina kashfa nyingi za matengenezo bomu ya barabara ikilinganishwa na fedha ambazo serikali hutumiwa kwenye shughuli hizo zikiongeza kasi ya umuhimu wa kuubadilisha uongozi mzima wa TANROADS....................

Mbaya zaidi, zoezi la mabadiliko ya uongozi ndani ya TANROADS yamekuwa yakipingwa na wabunge hususani Bunge la 9 kwa sababu hizohizo za kujenga barabara wakati barabara nyingi ni bomu................hii yaashiria Regional Engineers na watendaji ndani ya TANROADS wana sauti kubwa kuliko hata Bodi yao ya wakurugenzi katika kuchelewesha mabadiliko ya uongozi ndani ya TANROADS kwa masilahi yao binafsi tu......Kwa mwelekeo huu usitegemee jipya kutoka kwa Magufuli........aonekana ni mchovu sana kifikra na sasa ategemea jina kuisukuma Wizara hii atakako..........

Jamani hakuna wizara ya miundo mbinu tena. Hii inaitwa wizara ya ujenzi kwa kimombo ministry of works. Kwa kifupi ni kuwa Magufuli anaifahamu vizuri sana hii wizara kwani amewahi kuifanyia kazi na sote twajua kazi ilivyokuwa nzuri kipindi chake, kwahiyo anachokokifanya ana uhakika nacho. Mafisadi ndani ya wizara hawampendi hata kidogo maana wanataka wajaze matumbo yao tu huku tukijengewa barabara zinazomoka baada ya majuma mawili. Tusubiri tuone kazi yake akiwa sambamba na Mwakyembe.
 
Ni kweli kazi nzuri aliyofanya ni kuuziana nyumba za serikali kwa bei ya peremende. Vizuri tuendelee kusifiana tuu, uku hatujui jambo hata moja zuri alilofanya. Nadhani hata jibu huna, ebu tuambie kazi moja tuu nzuri aliyofanya Magufuli? Au kukariri majina ya barabara?
 
Taarifa ya habari ya saa moja jioni ya leo ya TBC1, Waziri wa Miundo mbinu Dr. Magufuli amesambaza Ilani ya uchaguzi za CCM kwa watendaji Wizarani kwake katika hali inayoonyesha anachapa siasa zaidi na kuwataka watendaji wote kwenye Wizara yake kuisoma, kuielewa na kuifuata..................au vinginevyo waache kazi au wataondolewa.....................

Vile vile amesimamisha zoezi la ajira mpya TANROADS katika hali inayoonyesha mwingiliano kati ya Bodi ya Wakurugenzi na Wizara Mama.............Kiutaratibu Wizara Mama haipaswi kujiingiza katika shughuli za kiutendaji za TANROADS..........Hayo ni majukumu ya Bodi na Menejimenti.......

La kusikitisha zaidi ni sababu alizozitumia katika kuhalalisha Uongozi wa Wizara kuingilia zoezi la ajira mpya za Wahandisi wa Mikoa wa TANROADS............alidai wao wanataka barabara zijengwe tu..........kama vile waliopo kazi hiyo huifanya kwa ufanisi wakati sivyo hata kidogo..................

Magufuli anashindwa kuelewa ya kuwa ni sera ya TANROADS ili kuimarisha ufanisi ajira ni za mikataba na kama watendaji wataelewa ajira ni za kudumu hawatakuwa na motisha wa kuongeza ufanisi...............................Pia TANROADS ina kashfa nyingi za matengenezo bomu ya barabara ikilinganishwa na fedha ambazo serikali hutumiwa kwenye shughuli hizo zikiongeza kasi ya umuhimu wa kuubadilisha uongozi mzima wa TANROADS....................

Mbaya zaidi, zoezi la mabadiliko ya uongozi ndani ya TANROADS yamekuwa yakipingwa na wabunge hususani Bunge la 9 kwa sababu hizohizo za kujenga barabara wakati barabara nyingi ni bomu................hii yaashiria Regional Engineers na watendaji ndani ya TANROADS wana sauti kubwa kuliko hata Bodi yao ya wakurugenzi katika kuchelewesha mabadiliko ya uongozi ndani ya TANROADS kwa masilahi yao binafsi tu......Kwa mwelekeo huu usitegemee jipya kutoka kwa Magufuli........aonekana ni mchovu sana kifikra na sasa ategemea jina kuisukuma Wizara hii atakako..........
acha conflict of interests unam-judge vp Magufuri kwa siku moja? au ndio mmoja kati ya ma-engineer fake wanaobangaiza huko TANROADS ?
 
Mhesimwa Magufuli, mimi nakupa kipimo kimoja tu, UKIFANIKIWA KUPUNGUZA AJALI ZA BARABARANI KWA ASILIMIA 50% UTAKUWA UMEFANYA KAZI NZURI.
Jiulize ajali za barabarani zinasababishwa na UBOVU WA BARABARA AU UZEMBE WA MADEREVA?
 
Kazi ya kupunguza ajali si ya Magufuli..Naona umekurupuka tu toka usingizini na kuandika comment hapa.Kaa chini fikiria kabla ya kuandika.

Halafu hoja yako kuhusu ajali zinasababishwa na Ubovu wa Barabara au uzembe wa Madereva iandikie thread tofauti ili wadau wachangie na usiiweke kwenye Siasa
 
Magufuli ni mchapa kazi tusianze kumshambulia mapema. Nadhani tunatakiwa kumsoma mstari kwa mstari kwa kila sentensi anayoisema na kuitafakari maana yake kuliko kukurupuka na kuanza kumtolea comments. Tusubiri tuone kasi yake zaidi km itabadilisha mwenendo wa mambo.

TANROADS is rotten inatakiwa kusambaratishwa haraka sana, hata ningekuwa mie ningeanza nao sambamba. MAGUFULI is RIGHT.

...Wizara yote ina matatizo. Issue si kusafisha, kurekebisha, nk. Kitu cha maana ni kufuata taratibu katika kutekeleza hayo.

...Haya mambo ya kutofuata taratibu na kanuni [kama bungeni] ndio yanayotuletea mauzauza.

...Nadhani suala zima limekaa ki-media promo kuliko kiutendaji.
 
Taarifa ya habari ya saa moja jioni ya leo ya TBC1, Waziri wa Miundo mbinu Dr. Magufuli amesambaza Ilani ya uchaguzi za CCM kwa watendaji Wizarani kwake katika hali inayoonyesha anachapa siasa zaidi na kuwataka watendaji wote kwenye Wizara yake kuisoma, kuielewa na kuifuata..................au vinginevyo waache kazi au wataondolewa.....................
Ulitaka asambaze za Chadema?
 
Back
Top Bottom