Magu: Walimu wanaolawiti watoto watakiwa kujisalimisha

Kilatha, Chige, Nyani Ngabu, Nguruvi3,

..Damn!!

..hivi huko Magu wamechagua mbunge wa upinzani nini?

..manaake tumezoea walipochagua upinzani ndipo huachwa bila msaada wa serikali.

..au hakuna serikali huko, kwa mfano district police officer, district security officer, district education officer, etc?
Ndio tatizo linapoanzia huko kwa wenzetu those departments works under the concept of inter-department teams and have ways of sharing information on tackling social issues together.

Policies zote za intervention ya maswala ya jamii WHO ndio wanatengeneza nchi zote ziliondelea wana copy ideas and implement them suitable to their existing systems.

Hao wizara ya afya ukiwauliza hata WHO wanasemaje kuhusu local joint strategic approach za kupambana na hayo mambo sidhani kama utapewa jibu. Let alone namna za kupambana na changamoto za inter-agency different working culture conflicts and how it affect the effectiveness of the system.

Watu tunaposema Ummy Mwalimu hii wizara sio size yake wanadhani majungu, she is well disciplined but management ya hiyo wizara is very technical and she doesn’t have what it takes.

Usiku mwema kiongozi....
 
SERIKALI wilayani Magu imeagiza kukamatwa ama kujisalimisha wenyewe walimu wawili wanaodaiwa kuwalawiti watoto wa kiume na kuwapa ujauzito wanafunzi wa kike.

Mkuu wa Wilaya hiyo, Salum Kalli, alitoa maagizo hayo jana wakati akizungumza na walimu zaidi ya 200 wa shule za sekondari na msingi katika Tarafa ya Itumbili.

Alisema yeye pia kama mzazi hafurahishwi na vitendo hivyo viovu wanavyofanyiwa watoto na walimu wao hasa wa kiume na kuonya watoto hao ni viongozi watarajiwa wa taifa hii hawapaswi kufanyiwa hayo.

Kalli alisema baadhi ya walimu wilayani Magu kufanya mapenzi na watoto wadogo wa shule za msingi na sekondari vitendo hivyo vinaumiza mno na kwamba katika shule ya msingi Irungu mwalimu mwenye umri zaidi ya 50, kwa miaka saba amekuwa akiwaingilia watoto wa kiume kinyume cha maumbile.

Alidai mwalimu huyo wa shule ya msingi Ilungu, Tarafa ya Itumbili (Mambosasa) amewaharibu watoto wa kiume kwa kuwaingilia kinyume cha maumbile na kawapa ujauzito wasichana watatu ambapo mwalimu mmoja wa Tarafa ya Ndagalu (Abdul 48) yeye kamweka kinyumba huko wilayani Kwimba, mwanafunzi wa darasa la nne baada ya kumpa ujauzito.

“Kuna mwalimu shule ya Msingi Irungu ana umri wa miaka zaidi ya 53 (akamtaja) huyo namtafuta amekuwa akiwaingilia watoto wa kiume kwa miaka 7,kawapa mimba watoto watatu,wawili wa darasa la V amewasaidia kutoa, ila mmoja wa dasara la VII imeshindikana,” alisema Kalli.

Mkuu huyo wa wilaya alisema kati ya wanafunzi hao mmoja ameathirika na kamuanzishia matumizi ya dawa za kufubaza makali ya Virusi vya Ukimwi (ARV’S) na kibaya zaidi wakati akifanya nao ngono alikuwa akiwalaza kitanda kimoja na kuwalipa sh. 10,000 kwa kuigawanya kulingana na jinsi kila mmoja alivyomhudumia.

“Huyo mwalimu wa Irungu, kwa miaka 7 amewaharibu watoto na kila akitafutwa hata akiwapo shuleni wenzake wanamficha sasa naagiza atafutwe popote alipo akamatwe.Mwingine wa Tarafa ya Ndagalu mwenye miaka 48 kampa mimba na kumweka kinyumba mwanafunzi wa darasa la nne, kakimbia, naye namtafuta,”alisema Kalli na kumwagiza Mkuu wa Polisi wilayani humo kuwasaka na kuwakamata au wajisalimishe wenyewe.

Alisema kuwa vitendo hivyo vya ovyo vinavyofanywa na walimu wilayani Magu vinaichafua wilaya hiyo pamoja na jina la Rais John Magufuli ambaye pia ni mwalimu mwenzao na kuwaagiza wakuu wa shule kusimamia nidhamu na uadilifu wa walimu kwani mwalimu ni mtu mwenye akilina msafi lakini kwa Magu ni kinyume chake.

Kwa upande wake Katibu Tawala wa Wilaya hiyo (DAS) Manref Nyoni alisema serikali itazidisha ukali kwa walimu wanaokiuka maadili na kufanya mapenzi na wanafunzi na hata watakaofikishwa mahakamani wakashinda kesi kwa sababu ya ushahidi kutojitosheleza watafukuzwa kwa mujibu wa sheria.

Naye Katibu wa Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC) Magu, Mwita Gisiri, alisema mwaka 2018-2020 walimu sita walifukuzwa kazi kwa tuhuma za kufanya mapenzi na wanafunzi na kuwataka walimu kutokubali kupoteza kazi kwa makosa ya uzembe na tamaa za kimwili, ambao hawajaoa waoe ili wasiidhalilishe taaluma ya ualimu.

Aidha Mkuu wa Polisi Magu, Mahamoud Banga alisema walimu wa kike wamepoteza mwelekeo wa malezi,wameingia kwenye msemo wa mtoto wa mwenzio ni mkubwa mwenzio na ili kuwanusuru wanafunzi na mimba za utotoni walimu wakuu waweke mkakati shuleni wa kuchunguza tabia za walimu wanaotongoza wanafunzi ili kukwepa gharama za mtaani.

Pia alitahadharisha vyumba vidogo vya maabara za shule zinatumiwa na walimu kufanya mambo ya ajabu na wanafunzi wa kike na kuahidi kufuatilia changamoto ya mimba shuleni baada ya uchaguzi mkuu kumalizika.

Eti Mabeberu ndio wabaya .
Tunao mafirauni humu humu nchini .
Dunia imeisha .
Hivi hao walimu wanapata raha gani kuwaingilia watoto kinyume na maumbile.
Hao wanatakiwa wapigwe risasi hadharani badala ya kuwapiga risasi watu wema wanaotekeleza majukumu yao ya kisiasa.
 
Juzi nilikuwa kituo cha police cha magu. Kulikuwa na kesi ya mtoto wa shule kupewa mimba na mwalimu. Mtoto anaulizwa mimba ni ya nani? Jibu lake ni kuwa mimba hajui ni ya nani sababu amelala na watu wengi wakiwemo walimu, bodaboda na wanafunzi wenzake.

Sasa hii kesi imekuwa pasua kichwa kwa maaskari na ustawi wa jamii.

Watoto wa kike wa kitanzania hasa vijijini wanahitaji msaada mkubwa hasa wa kimazingira kuwaondoa katika janga hili.
 
WEWE NI MPUMBAVU, NA UPUMBAVU ULIONAO NI MATOKEO YA KUKOSA UTULIVU WA KICHWA NA KUVAMIA HOJA ZA WATU WENGINE KWA MHEMKO!
1. HEBU NIONYESHE NILIPOFANYA UTETEZI KATIKA SUALA HILI
2. UPUMBAVU WAKO UNAKUFANYA USHINDWE KUELEWA KUWA ANGUKO LA MAADILI HALIMUWEKI PEMBENI MWALIMU! KWANI WALIMU MNAWATOA TANZANIA IPI AU DUNIA IPI? WEWE HUJUI KAMA WALIMU WANATOKA HUKO HUKO KWENYE DUNIA ILIYOOZA?

NGOJA NIKUACHE NA UPUMBAVU WAKO...
1. The use of capital letters means shouting, so stop shouting, asshole!
2. Matusi yako kwangu yanaendelea kuthibitisha how stupid you're, dumbass!!!
3. Kwavile unaamini tatizo sio walimu bali ni vitoto vyenyewe ndivyo vinawatega walimu ili vilawitiwe then it must be you're talking from your own experience!

Now tell me... na wewe uliwatega walimu wako wakati upo darasa la ngapi hadi wakakulawiti, idiot?

Unadai ni wapi umetetea huo ushenzi! Yaani umesahau kuna mdau hapa alisema there's no way vitoto vya primary school vinaweza kushawishi mwalimu bali huo ni ushetani tu wa hao ualimu, na ndipo ukamjibu eti:-

Wewe hujui vitoto siku hizi vinawahi sana haya mambo, na kwa kuwa vinajua vinatafutwa vinajitahidi kuwa visafi. Tatizo ni kubwa sana, ni matokeo ya kuanguka kwa maadili. Suluhu yake haiwezi kuwa kwenye suala la usafi au uchafi wa vibinti. Wewe hujawahi kuona mtu kaoa mwanamke mchafu, au mwanamke kaolewa na mwaume mchafu? Uchafu hauzuii hiyo kitu!

So, kama sio ku-justify upumbavu ni nini umeandika hapo juu, you piece of shit? Are you this stupid hadi unakana ulichoandika wewe mwenyewe?

VERY STUPID!!
 
Mkuu JokaKuu,

Hiyo picha ya Magu na hao Washenzi imenisikitisha sana!!!

Watetezi wa Magu bado wanataka kuaminisha watu kwamba akina Babu Seya walionewa na kwahiyo Magu alikuwa right kuwaachia huru!!

Swali ambalo wanashindwa kujiuliza, ni kwanini ghafla tu Babu Seya na Pappii Kocha wakaanza ku-keep low profile wakati waliingia mtaani na kutaka kuonesha watu kwamba "they're back" hata wakawa na ndoto za kuendelea kufanya muziki!!

Huo ni ushahidi tosha kwamba hatimae insiders walimwambia Magu kwamba hata kama umewaachia hao watu lakini ukweli ni kwamba walikuwa na hatia, and the best way for them and your image for now ni wao ku-keep low profile!!
 
Juzi nilikuwa kituo cha police cha magu. Kulikuwa na kesi ya mtoto wa shule kupewa mimba na mwalimu. Mtoto anaulizwa mimba ni ya nani? Jibu lake ni kuwa mimba hajui ni ya nani sababu amelala na watu wengi wakiwemo walimu, bodaboda na wanafunzi wenzake.

Sasa hii kesi imekuwa pasua kichwa kwa maaskari na ustawi wa jamii.

Watoto wa kike wa kitanzania hasa vijijini wanahitaji msaada mkubwa hasa wa kimazingira kuwaondoa katika janga hili.
Hao Bodaboda, wanafunzi wenzake n.k, tunmatupa kule lakini jamii iliyostaarabika haitarajii kuona Mwalimu nae anaingia kwenye hiyo orodha kwa sababu kila mmoja anachukulia Bodaboda ni miongoni mwa kundi la wendawazimu, wanafunzi wake, ndo hivyo imeshakuwa wanafunzi wake; sasa Mwalimu anakuaje tena miongoni mwa wenye uwezekano wa kumpa mimba mwanafunzi?

That's one but two, unajuaje kama anayosema huyo mtoto ni kweli, na sio kwamba huyo huyo aliyempiga mimba ndie kamfundisha aseme hayo ili kujaribu ku-cover his track?!

Nakumbuka Mwaka jana Bush kwetu ilitokea kesi kama hiyo!! Binti akadai amepewa mimba na mwanafunzi mwenzake wakati raia wakisema kapewa na mwalimu wake!

Walichofanya Polisi, wakamnyang'anya simu yule binti na wakamweka dentetion yule binti! Kupitia ile simu ya huyo binti, Polisi wakawa wana-chat na yule Mwalimu na yule mwanafunzi aliyetajwa kumpa ujauzito!

Bila kujua kwamba alikuwa ana-chat na polisi, Ticha akaingia kwenye 18 mwenyewe!!!!
 
Kilatha, Chige, Nyani Ngabu, Nguruvi3,

..Damn!!

..hivi huko Magu wamechagua mbunge wa upinzani nini?

..manaake tumezoea walipochagua upinzani ndipo huachwa bila msaada wa serikali.

..au hakuna serikali huko, kwa mfano district police officer, district security officer, district education officer, etc?
Yaani inashangaza sana! Yaani kwa miaka 7 in a row, Mwalimu anafanya ushenzi kama huo kwa watoto wadogo na bado anadunda tu!!

Na kama si mimba ya huyo wa mtoto wa tatu "kugoma" kutoka, kuna kila dalili hadi sasa yasingejulikana kwa umma haya, na hiyo mimba ndiyo imemuumbua!!

Just imagine, Mwalimu mtu mzima, anavipanga vibinti kitandani halafu anaviingilia kwa zamu!!!
 
Kumpigia kura Tundu Lisu ni kupiga kura watoto wako wawe mashoga.
 
Dc Kali unakwama wapi? Watoto na mimba + UKIMWI. Kamata hao walimu wasio na maadili tia ndani.

Huyo wa Ndagalu aliyeoa binti wa STD 4 bado anapumulia uraiani? M-castrate bana.
 
Mkuu JokaKuu,

Hiyo picha ya Magu na hao Washenzi imenisikitisha sana!!!

Watetezi wa Magu bado wanataka kuaminisha watu kwamba akina Babu Seya walionewa na kwahiyo Magu alikuwa right kuwaachia huru!!

Swali ambalo wanashindwa kujiuliza, ni kwanini ghafla tu Babu Seya na Pappii Kocha wakaanza ku-keep low profile wakati waliingia mtaani na kutaka kuonesha watu kwamba "they're back" hata wakawa na ndoto za kuendelea kufanya muziki!!

Huo ni ushahidi tosha kwamba hatimae insiders walimwambia Magu kwamba hata kama umewaachia hao watu lakini ukweli ni kwamba walikuwa na hatia, and the best way for them and your image for now ni wao ku-keep low profile!!

..Magufuli ni mwalimu, na mkewe ni mwalimu.

..Na Babu Seya na Papii walikuwa wakilawiti wanafunzi.

..Mimi nashangaa sana wanaomtetea Magufuli ktk suala hili.
 
Back
Top Bottom