Tabutupu JF-Expert Member Nov 26, 2010 13,108 18,325 Oct 7, 2019 #1 Wakandarasi watakiona cha moto. Jamani uniform za askari wetu zinapendeza..
mzee wa kasumba JF-Expert Member Nov 26, 2018 1,432 2,892 Oct 10, 2019 #2 Ngoja Ni coment chochote. Maana Uzi unatia huruma, siku ya tatu leo hamna hata coment moja????... Ooo
Ngoja Ni coment chochote. Maana Uzi unatia huruma, siku ya tatu leo hamna hata coment moja????... Ooo
shirima Mathias JF-Expert Member Feb 9, 2017 451 1,320 Oct 10, 2019 #4 Wacha na mimi nikuongezee coment #MATAGA#
M mama kubwa JF-Expert Member Nov 3, 2010 5,413 8,398 Oct 11, 2019 #5 Hata mie ngoja nicoment. Watu humu wabaguzi sana akianzisha mtu wao utaona wanavyotiririka. Kwani hamuoni mkuu habandui macho kwa dogodogo?
Hata mie ngoja nicoment. Watu humu wabaguzi sana akianzisha mtu wao utaona wanavyotiririka. Kwani hamuoni mkuu habandui macho kwa dogodogo?
Chapa Nalo Jr JF-Expert Member Dec 8, 2010 7,515 6,489 Oct 16, 2019 #6 Huyo women polisi kukicha bila bila ashukuru, si kwa jicho hilo la mkulu
bongonyoo JF-Expert Member Jun 29, 2019 604 881 Oct 16, 2019 #7 Alvin A. said: MBONA ANAMCHEKI SANA HUYO WP? Click to expand... kamuhusudu