Magreth Sitta awatetea walimu kwenye mpango wa BRN.

Kayabwe

JF-Expert Member
Jan 8, 2012
355
51
Akihitimisha ktkt uchangia wa kamati ya huduma za jamii ambapo yy nu m/kiti amesema bila kuwajali walimu kwa kuwalipa vizuri na kulipa madeni yao hakuna big result now.Amekiri serikali hamthamini mwalimu na akasema walimu wanajitahidi kufanya kazi ingawa wanafanyia kazi kwenye mazingira magumu.Je serikali itamuangalia mwalimu na kumthamini na kumlipa vizuri?Walimu msikubali kujitoa bila walimu kuwalipa vizuri!!!!
 
yataishia humo bungeni badae walimu wanaachwa na matatizo yao kama mwanzo kwa kuwa hawana madhara kwa chama chakavu na serikali yake
 
Mkuu usemacho ni cha kweli jambo lililoletwa halihitaji picha isipokuwa mchago tu ama kuacha sasa analaziminsha picha wakati mwingine hawa watu wamekuwa vikwazo.
Asante kwa kuliona hilo.
 
Akihitimisha ktkt uchangia wa kamati ya huduma za jamii ambapo yy nu m/kiti amesema bila kuwajali walimu kwa kuwalipa vizuri na kulipa madeni yao hakuna big result now.Amekiri serikali hamthamini mwalimu na akasema walimu wanajitahidi kufanya kazi ingawa wanafanyia kazi kwenye mazingira magumu.Je serikali itamuangalia mwalimu na kumthamini na kumlipa vizuri?Walimu msikubali kujitoa bila walimu kuwalipa vizuri!!!!

Mnafiki mkubwa, alikua Waziri Wa Elimu akashindwa, leo ndio anapiga kelele?.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom