Magoti yangu .

Bandabichi

JF-Expert Member
Jun 3, 2012
230
42
Heshima mbele wakuu.
Ninafanya mazoezin kila sikun asubuhi si unajua afya na pumzi kwa ajili ya mambo yetu yale, Unaweza ukaishia Chalize maake hiyo spidii yake usipime.

Sasa basi magoti yanakuwa yanaisha ile fluid na yanakuwa yanakwangua sana mpaka nashindwa kuinuka Je tatizo ni nini? na suluhisho lake ni kitu gani.
 
Ha ina maana watalamu leo wapo w/end mbona ni kinyume na professional yenu.
 
Mkuu Bandabichi Mkuu Hujatuambia unafanya mazoezi gani? Je unapiga Punyeto? Je umesha wahi kwenda

Hospitali kumshitakia Daktari matatizo yako?Je yanavyouma hayo magoti umesha wahi kutumia dawa gani? Je usipofanya

hayo mazoezi je magoti yako pia yanauma?Jaribu kwenda Hospitali kumuona Daktari kisha uje hapa utueleze unaendeleaje asante.

bibie Blaki Womani Nimeshamjibu huyu Bandabichi
 
Kaka naamka asubuhi nafanya jogging kama kilomita tano hivi.

nimeona je mambo ya bamia mbichi kwa siku 14
 
Bibie Blaki Womani Sio kama

dawa hazipo ila tunataka kila Mtu anaye umwa kwanza aende Hospitali kuangalia na kupimwa ili ijulikane ni kitu gani

kinacho msumbuwa yeye anasema magoti anaumwa inawezekana kuna matatizo mengine yaliyojificha ndani ya mwili wake

yeye mwenyewe hajuwi ni kitu gani zaidi ya kujuwa magoti yake ndio yanayomuuma tu? Tunataka tujuwe chanzo cha

maradhi ndipo tunaweza kujuwa tumpe dawa gani bibie. Au unasemaje? Ushauri wangu vipi haufai? Hospitali

zimetengenezwa kwa ajili ya Wagonjwa binadamu sio Wanyama akiogopa Mtu kwenda Hospitali akija hapa kwanza shauri

yake kuna watu humu ndani wanatoa ushauri mbaya anaweza kuzidisha maradhi yake badala ya kupona.
 
Kaka naamka asubuhi nafanya jogging kama kilomita tano hivi.
Mkuu Bandabichi mimi ninakupa Dawa hii uitumie kwa siku kama 14 utaona matokeo yake Fanya hivi :

Tengeneza juisi ya Bamia.

Taayarisha mabamia mabichi 4 kwa siku , yakoshe vizuri halafu uyakate vipande vidogo vidogo. Kisha uyatie kwenye jagi na maji safi ambayo unaweza kupata glass kama tatu za maji uyaache yakae kwenye hayo Maji ya Jagi kwa muda wa masaa 2. baada ya hapo utapata maji mazito ya urenda. Matumizi yake kunywa mara 3 hadi mara 4 kwa siku. Fanya hivyo kwa muda wa siku 14 kisha uje hapa utupe Feedback
 
Bibie Blaki Womani Sio kama

dawa hazipo ila tunataka kila Mtu anaye umwa kwanza aende Hospitali kuangalia na kupimwa ili ijulikane ni kitu gani

kinacho msumbuwa yeye anasema magoti anaumwa inawezekana kuna matatizo mengine yaliyojificha ndani ya mwili wake

yeye mwenyewe hajuwi ni kitu gani zaidi ya kujuwa magoti yake ndio yanayomuuma tu? Tunataka tujuwe chanzo cha

maradhi ndipo tunaweza kujuwa tumpe dawa gani bibie. Au unasemaje? Ushauri wangu vipi haufai? Hospitali

zimetengenezwa kwa ajili ya Wagonjwa binadamu sio Wanyama akiogopa Mtu kwenda Hospitali akija hapa kwanza shauri

yake kuna watu humu ndani wanatoa ushauri mbaya anaweza kuzidisha maradhi yake badala ya kupona.

je kwa mtu mwenye tatizo hilo kwa muda mrefu anatakakiwa kunywa kwa muda gani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom