Magonjwa ya zinaa yamezidi sana miaka hii

Yaaani sigara na pombe zinasababisha magonjwa ya Zinaa. Mleta mada Elimu siku hizi nirahosi.. embu ingia Google utapata info za kutosha. Unaonekana unapenda kuwaonea wanawake.

Yaaani usipofua chupi unapata kisonono.... Aiseeee you are not serious

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kubandika kucha kunabeba bacteria gani ambao husababisha magonjwa ya Zinaa? Mleta mada unaelimu duni Sana. Kwani haya Mambo tumesoma secondary. Sikuwai ambiwa na mwalimu ukinywa pombe unapata STD au sigara.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ni negligible, na kitaalamu hauwezi unasema kuwa ni sexually transmitted.

UTI sio STD au STI, japo ugonjwa kama Chlamydia ambao ni sexually transmitted unaweza, secondarily inasababisha UTI. I

la UTI sio STD/I. Nenda ukasome vitabu na majarida zaidi Mkuu, usitegemee Google pekee.

Cystitis ni UTI,Prostatis ni UTI na Orchitis pia Ni UTI na zote izo ni STD/I....


Sent by iOS
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom