Magonjwa 10 yatokanayo na Pombe (hio unayokunywa wewe)

Pombe imekua kimbilio la wengi kama sehemu ya starehe au moja ya kitu cha kuondoshea msongo wa mawazo. Kiukweli Pombe ni neurotoxin (sumu ishambuliayo mfumo wa fahamu) ambayo huharibu ubongo kwa njia ngumu kupitia kufuta kwa mda mrefu na uondoaji wa mara kwa mara wa kumbukumbu, na kusababisha ugonjwa mkubwa na vifo pia. Yafuatayo ni magonjwa 10 yanayosababishwa na unywaji wa Pombe.
1) Ugonjwa wa ini
Pombe ukisha inywa sehemu yake kuu inapokua inavunjwa vunjwa ni katika ini, hivo huweza kukuweka katika hatari ya kuharibikiwa na ini
2)Ugonjwa wa akili (alcohol related psychosis)
Kama nilivyotangulia kueleza hapo juu kuwa Pombe ni aina ya sumu ishambuliayo mfumo wa fahamu hivo baada ya mnywaji kunywa huwa anapata hallucinations na matokeo yake badae huharibikiwa na akili.
3)Ugonjwa wa Pancreas (pancreatitis)
4)Kanser
Pombe pia ni carcinogens yaani ina vitu ambavyo hupelekea mtu kuugua kansa. Mfano wa kansa kama ya koo, mdomo, ini, uchango mkubwa na puru.
5)Vidonda vya tumbo
6)Kushuka kwa kinga ya mwili
Kinga ya mwili inaposhuka mtu huwa rahis kushambuliwa na vijidudu visababishao magonjwa mfano, ugonjwa wa TB, kisukari, hata HIV.
7)Utapiamlo
8) Ugonjwa wa kudhoofu mifupa (osteoporosis)
9)Magonjwa ya moyo (cardiovascular diseases)
10) Ajali ambazo husabisha mauti au ulemavu wa kudumu.
Najua yote haya unayafahamu, lengo ni kukumbushana tu so stay calm and leave the liquid.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kunywa pombe ili uishi milele!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Pombe hunywi
2. Hupendi anasa
3. Unafuata kanuni za mlo bora
4. Unafanya mazoezi
5. Unapata muda wa kupumzika

6. Unanunua slipers, unaingia nazo bafuni mara unaanguka UNAKUFA!

NB: Don't get twisted, life has no replay button. Live it the fullest today.
 
Hata mimi mkuu, na kuishi bila ya Pombe inawezekana, tunyweni maji na maziwa mbona Yana starehe pia

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Kwan unatatizo!??karibu sana
IMG-20190215-WA0035.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

  • IMG_20190127_085556_9.jpg
    IMG_20190127_085556_9.jpg
    38.3 KB · Views: 22
Pombe imekua kimbilio la wengi kama sehemu ya starehe au moja ya kitu cha kuondoshea msongo wa mawazo. Kiukweli Pombe ni neurotoxin (sumu ishambuliayo mfumo wa fahamu) ambayo huharibu ubongo kwa njia ngumu kupitia kufuta kwa mda mrefu na uondoaji wa mara kwa mara wa kumbukumbu, na kusababisha ugonjwa mkubwa na vifo pia. Yafuatayo ni magonjwa 10 yanayosababishwa na unywaji wa Pombe.
1) Ugonjwa wa ini
Pombe ukisha inywa sehemu yake kuu inapokua inavunjwa vunjwa ni katika ini, hivo huweza kukuweka katika hatari ya kuharibikiwa na ini
2)Ugonjwa wa akili (alcohol related psychosis)
Kama nilivyotangulia kueleza hapo juu kuwa Pombe ni aina ya sumu ishambuliayo mfumo wa fahamu hivo baada ya mnywaji kunywa huwa anapata hallucinations na matokeo yake badae huharibikiwa na akili.
3)Ugonjwa wa Pancreas (pancreatitis)
4)Kanser
Pombe pia ni carcinogens yaani ina vitu ambavyo hupelekea mtu kuugua kansa. Mfano wa kansa kama ya koo, mdomo, ini, uchango mkubwa na puru.
5)Vidonda vya tumbo
6)Kushuka kwa kinga ya mwili
Kinga ya mwili inaposhuka mtu huwa rahis kushambuliwa na vijidudu visababishao magonjwa mfano, ugonjwa wa TB, kisukari, hata HIV.
7)Utapiamlo
8) Ugonjwa wa kudhoofu mifupa (osteoporosis)
9)Magonjwa ya moyo (cardiovascular diseases)
10) Ajali ambazo husabisha mauti au ulemavu wa kudumu.
Najua yote haya unayafahamu, lengo ni kukumbushana tu so stay calm and leave the liquid.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umesahau 1...kushindwa zaa watoto wa kiume

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Pombe hunywi
2. Hupendi anasa
3. Unafuata kanuni za mlo bora
4. Unafanya mazoezi
5. Unapata muda wa kupumzika

6. Unanunua slipers, unaingia nazo bafuni mara unaanguka UNAKUFA!

NB: Don't get twisted, life has no replay button. Live it the fullest today.
Hahaha ishu sio kufa ishu ni vipi unakufa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom