S samakinchanga JF-Expert Member Aug 24, 2014 2,024 1,232 Apr 22, 2016 #1 goli la donald ngoma alilowafunga Al Ahly ni kiboko na kwa kasi ya ajabu,pili goli la Toto African uwanja wa taifa . endelea kuorodhesha
goli la donald ngoma alilowafunga Al Ahly ni kiboko na kwa kasi ya ajabu,pili goli la Toto African uwanja wa taifa . endelea kuorodhesha
kidaganda JF-Expert Member Aug 26, 2013 2,995 2,571 Apr 23, 2016 #4 Afande selle "sio lazima wote tuimbe"