Magma Motoo. ...

Kasie

Platinum Member
Dec 29, 2013
21,206
36,185
Kama uliwahi kucheza mziki kwa kuigiza wanavocheza kwenye TV halafu ukaenda kucheza mbele ya kioo, njoo tufanye mazoezi ya huu wimbo. Halafu jumamosi tukutane beach party kuoneshana maufundi.




Wale wapenzi wa bolingo karibuni tulisakate kabumbuu likizo inaendelea.

Kasie Mahaba.
 
FM Academia 2018 Dar es Salaam , Tanzania timu ni ile ile lakini kocha tofauti full dozee timu ya taifa wazee Ngwasuma chini ya Patcho Mwamba HD Live


Source: Saluti5.com
 
Christian Bella na Malaika Band - Lamba Lamba
Toboa nyavu 2018

source: Christian bella
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom