Maghorofa yote marefu yakaguliwe, yatakayoonekana ni hatari yavunjwe kuepusha maafa zaidi

Unajua unamwaga pumba saana mkuu!!!!... sehemu nyingi ninaposoma uchangiaji wako nashindwa kuelewa kuwa ni kweli unaelimu angalau ya darasa la SABA!!!!!...
Elimu unayo wewe unayedakia comment moja bila kusoma zilizopita, jiulize kwanza kwa nini nilimjibu hivyo huyo mtu,
Tatizo lenu nyie makamanda viroba mnataka muone thread zinazowapamba mabosi wenu tu basi.
 
Hapana hujanikwaza , ila nimegundua hatukuelewana tu,
Unajua isiwe tabia ya watu walio chini kufanya madudu wakitegemea waziri ndio atakaewajibika kwa madudu waliyoyafanya. Tukiendelea na utamaduni huu watu wa chini ambao ndio watendaji wakuu watakuwa wanaendeleza madudu bila kuogopa.
Hapa ni kumuomba waziri asionyeshe huruma kwa wahusika wote ambao uzembe wao umesababisha m,aafa

Mimi naamini kila mtu anaweza kuvutiwa na hoja zako tu pale utakapoamua kuwa OBJECTIVE kama thread hii ulivyokuja nayo!!!... Mahali pa kupongeza, ...pongeza!!... Mahali pa kukosoa, ....kosoa!!! ...kama ni maoni toa!!!...

Mchango wako kuhusu uwekezaji wa wachina UNATIA KICHEFU CHEFU!.. Mimi nimekimbia kuchangia kuepuka BAN!!!
 
Elimu unayo wewe unayedakia comment moja bila kusoma zilizopita, jiulize kwanza kwa nini nilimjibu hivyo huyo mtu,
Tatizo lenu nyie makamanda viroba mnataka muone thread zinazowapamba mabosi wenu tu basi.

TAYARI umeanza kulipuka!!!... Sijaja kwa shari mkuu!!!... maneno niyasemayo ni ya kawaida USIPANIKI!!!... Mimi posti zako nimezisoma saana leo!!!!... Kizuri zaidi nimeona posti zenye hoja, lakini pia nimeona zinazokushushia hadhi!!!
 
Suala sio kubishana,
Waliofanya makosa wanajulikana na wakamtwe , haya ya kukimbilia kwa waziri kujiuzuru kila kukicha sio solution.
Majanga hutokea kila wakati kinachotakiwa kufanyika ni kukamata waliofanya uzembe uliosababisha maafa

Hizi hoja mkuu zinajenga taifa!!!... Hoja kama hizi hazina dini wala itikadi!!!... Tuungane katika mambo ya msingi, na kutofautiana katika mambo ya itikadi!!!!... SI MATUSI!!!!
 
Wewe unaishi wapi kiasi cha kutokujua kwamba Tanzania kuna tume ya kukagua majengo? Hujui kwamba baada ya kuanguka kwa jengo la Chang'ombe kilianzishwa kitengo cha ukaguzi wa majengo yote ya ghorofa, na pia kikaanzishwa kitengo cha kuthibitisha ubora wa majengo kabla ya kuanza kuyatumia, pia kitengo hiki kulipewa mamlaka ya ukaguzi wa makandarasi wa kujenga majengo marefu? Sasa jiulize ni nini tena kimetokea leo? Rushwa ya CCM ndiyo inayosababisha haya. Uzembe wa serikali ndiyo unaosababisha haya. Mfumo wa ten percent ambao ni inherent kwa CCM ndiyo chanzo cha haya yote.
Msitusumbue na habari za kuanzisha ukaguzi wa majengo ilihali majengo marefu na mabovu yanajengwa na wanaoilea na kuigharamia CCM.
 
Mkuu mie hayo siyajui,
Kwa sasa naishi nje, samahani kwa hilo
Lakini suala ni kuwa kama hao wakaguzi walijua kuwa jengo halina kiwango na wakalifumbia macho basi na wao wawajibike.
Watu wamepoteza maisha yao hakuna msamaha hapa
 
Unajua unamwaga pumba saana mkuu!!!!... sehemu nyingi ninaposoma uchangiaji wako nashindwa kuelewa kuwa ni kweli unaelimu angalau ya darasa la SABA!!!!!...

Katika wapumbavu bila shaka unashika namba moja. Hoja aliyokuja nayo Lukosi hapa inaeleweka vyema kabisa. Ni nini usichoelewa katika hoja hiyo ya Lukosi?. Nina mashaka sana na elimu yako pamoja na uelewa wako, unaweza kujua ku -type na kutumia computer lakini unaonesha bado unaishi enzi za Ujima.
 
Chris Lukosi,Siku mojamoja huwa unaamka vizuri au leo ulisahau kuwa umefunga ndoa na serikali/ccm?(sijui nani amemuoa mwenzake).
Anyway,naunga mkono hoja.
Naskia kuna tume ya majengo,hivi kazi yake ni nini?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mie hayo siyajui,
Kwa sasa naishi nje, samahani kwa hilo
Lakini suala ni kuwa kama hao wakaguzi walijua kuwa jengo halina kiwango na wakalifumbia macho basi na wao wawajibike.
Watu wamepoteza maisha yao hakuna msamaha hapa
Aaah, kumbe siyo kosa lako. Kuna mwaka pale Chang'ombe kuna gorofa lilishuka, likaua watu wawili kama sikosei. Kutoka hapo rais wako akatoa tamko kali la kutaka mtu asiruhusiwe kujenga ghorofa hadi apate kibali cha nani na nani sijui. Ikaundwa na tume ya kukagua ubora wa majengo nchi nzima. Na ikapendekeza majengo kadhaa pale Dar yavunjwe. Na kutoka hapo ikawa ni marufuku kwa mtu yeyote au shirika lolote kujenga ghorofa bila idhini ya hiyo tume. To my surprise, leo tena jengo limeanguka, tena karibu na Ikulu, na si ajabu ni karibu na makao makuu ya hiyo tume ambayo sijui ofisi yake ilipo. Seriousness ya viongozi wetu ni ndogo sana, ni lazima tuwe wakweli.

Na kinachosababisha yote haya ni uwezo mdogo wa Kikwete kumuwajibisha mtu anayeshindwa kutimiza wajibu wake katika sehemu yake ya kazi. Mabomu yanalipuka yanaua watu, rais anamtetea waziri eti halikuwa kosa lake, kwani Mwinyi alipojiuzulu uwaziri wa mambo ya ndani siku zile ni yeye aliyewaua wafungwa? Kama mawaziri wangejua kwamba likitokea kosa chini ya uongozi wao wanapaswa kuwajibika, katu wasingemchekea yeyote aliye chini yao. Lakini hivi sasa CCM wanatengeneza majanga ili wajionyeshe kwa wananchi kwamba wanawajali. Kama ambavyo leo Kikwete amefanya. Jengo limevunjika kizembe eti anajifanya kwenda kuungana na wananchi katika kulishangaa jengo. Kumbe nilidhani anakwenda kutangaza kumfukuza kazi mkandarasi wa mkoa pamoja na waziri anayehusika na masuala ya makazi. Kwa nchi maskini inayotafuta kujikwamua kiuchumi na kijamii kama Tanzania, kuongozwa na kiongozi kama Kikwete ni hasara kubwa sana kwa watu binafsi na kwa taifa kwa ujumla wake.

Lukosi najua sana kwamba wewe ni shabiki mkubwa wa CCM, lakini una bahati mbaya, CCM imepoteza dira, ni chama cha maulaji na si chama cha kulinda na kutetea maslahi, ustawi na usalama wa watanzania. Nakushauri wewe ndugu yangu mwanaIringa mwenzangu uungane na sisi wenzako, kuwahurumia watanzania maskini ambao CCM inaendelea kuwatia umaskini na kuwaua kizembe kila kuchapo.
 
Ndugu zanguni,

Leo tumepatwa na msiba mkubwa baada ya ghorofa refu kuanguka na kufunika watu.
Ni dhahir kuwa kuanguka kwa jengo hili kunatokana na makosa ya kiufundi kwani hakuna ripoti inayosema jengo limepigwa bomu.

Hii inatisha sana, nimekaa nimejiuliza swali moja
Ikiwa leo hii jengo linaanguka lenyewe , jee kesho likitokea tetemeko la ardhi ni majengo mangapi yatabaki

Ndugu zangu tusije kuwa tunaishi kwenye time bomb.
Naiomba serikali ifanyie ukaguzi majengo yote nchini yenye urefu wa zaidi ya ghorofa mbili na jengo lolote litakaloonekana kuwa liko kwenye hatari ya kuporomoka libomolewe kabla halijaua watu

Mie sijasomea uhandisi lakini najua tuna civil engineers, architectures na quantity surveyors wa kutosha kufanya operesheni hii ili kuepusha majanga mengine kutokea.

Kila mtu anajua uchakachuaji wa sementi na zana nyingine kwenye uienzi na tabia ya wamiliki wengi wenye majengo marefu kuajiri wajenzi wasio na ujuzi wala uzoefu ili kupunguza gharama za ujenzi wanasahau kuwa wakati wa kuporomoka hata wao wanaweza kuwa ndani ya hayo majengo.

BORA LAWAMA KULIKO FEDHEHA, MAJENGO HATARI YABOMOLEWE!
Kwenye red Mkuu
Hao Serikali ndio wameruhusu hayo majengo yote kujengwa, Ukiyapitia yote yana vibali halali toka ofisi halali na yamethibitishwa na wataalam hao hao kuwa yanafaa kwa matumiz ya binadamu! Ndugu yangu Lukosi siku moja niliwahi kukwambia kuwa kuishi kwako ughaibuni huenda kumekufanya kutokujua kwa uhakika nchi yetu ina serikali mbovu kwa kiasi gani. Katikati ya miaka ya tisini kuna kampuni ya ujenzi ilikuwa inaitwa zakem hii ilijenga sehemu ya barabara ya Mwanza Shinyanga, barabara ile ilianza kubomoka ndani ya mwaka mmoja chini ya serikali hii hii! Hili si Jengo la kwanza kuanguka mkuu na yataendelea kuanguka na hiyo serikali itaendelea kuwapa pole wananchi waliofikwa na maafa. If you think our government is serious and values people's life ur are making a bid mistake.

majengo marefu yakaguliwe upya kwani hata hivyo vifaa vya kuzimia moto katika majengo marefu vipo nchini?
 
Kwenye red Mkuu
Hao Serikali ndio wameruhusu hayo majengo yote kujengwa, Ukiyapitia yote yana vibali halali toka ofisi halali na yamethibitishwa na wataalam hao hao kuwa yanafaa kwa matumiz ya binadamu! Ndugu yangu Lukosi siku moja niliwahi kukwambia kuwa kuishi kwako ughaibuni huenda kumekufanya kutokujua kwa uhakika nchi yetu ina serikali mbovu kwa kiasi gani. Katikati ya miaka ya tisini kuna kampuni ya ujenzi ilikuwa inaitwa zakem hii ilijenga sehemu ya barabara ya Mwanza Shinyanga, barabara ile ilianza kubomoka ndani ya mwaka mmoja chini ya serikali hii hii! Hili si Jengo la kwanza kuanguka mkuu na yataendelea kuanguka na hiyo serikali itaendelea kuwapa pole wananchi waliofikwa na maafa. If you think our government is serious and values people's life ur are making a bid mistake.

sasa tufanye nini kujikomboa? tulilie adhabu ya kifo au tusubiri mengine mabaya zaidi ya haya. kwanza ile scando ya uswiss imefikia wapi? serikali ilisema itafanya uchunguzi na mpaka leo hakuna lolote tuliloambiwa?
 
Mi nilijua ni kosa la Dr. Slaa..yeye si ndio msimamizi wa ujenzi wa majengo yote hapa mjini?
..Yakiwamo yale 100 yaliyosemekana yanatakiwa kuvunjwa sababu hayana ubora..CCM oyee!!
 
Ndugu zanguni,

Leo tumepatwa na msiba mkubwa baada ya ghorofa refu kuanguka na kufunika watu.
Ni dhahir kuwa kuanguka kwa jengo hili kunatokana na makosa ya kiufundi kwani hakuna ripoti inayosema jengo limepigwa bomu.

Hii inatisha sana, nimekaa nimejiuliza swali moja
Ikiwa leo hii jengo linaanguka lenyewe , jee kesho likitokea tetemeko la ardhi ni majengo mangapi yatabaki

Ndugu zangu tusije kuwa tunaishi kwenye time bomb.
Naiomba serikali ifanyie ukaguzi majengo yote nchini yenye urefu wa zaidi ya ghorofa mbili na jengo lolote litakaloonekana kuwa liko kwenye hatari ya kuporomoka libomolewe kabla halijaua watu

Mie sijasomea uhandisi lakini najua tuna civil engineers, architectures na quantity surveyors wa kutosha kufanya operesheni hii ili kuepusha majanga mengine kutokea.

Kila mtu anajua uchakachuaji wa sementi na zana nyingine kwenye uienzi na tabia ya wamiliki wengi wenye majengo marefu kuajiri wajenzi wasio na ujuzi wala uzoefu ili kupunguza gharama za ujenzi wanasahau kuwa wakati wa kuporomoka hata wao wanaweza kuwa ndani ya hayo majengo.

BORA LAWAMA KULIKO FEDHEHA, MAJENGO HATARI YABOMOLEWE!

PUMBA NYINGINE HIZI!!

Lilipodondoka ghorofa la Changombe wakati ule si iliundwa tume ya kufanya kazi hii.....kwa taarifa yako report ilionyesha kuna majengo mengi mabovu, ingawa taarifa ilifichwa ikawa ni siri ya serikali.....JE ni mangapi yamevunjwa au wahusika kuchukuliwa hatua za kisheria?

Awamu ya nne chini ya JK ni zaidi ya uijuavyo......USANII squared!

Do your research kabla hujaongeza pumba nyingine humu jamvini
 
Ndugu zanguni,

Leo tumepatwa na msiba mkubwa baada ya ghorofa refu kuanguka na kufunika watu.
Ni dhahir kuwa kuanguka kwa jengo hili kunatokana na makosa ya kiufundi kwani hakuna ripoti inayosema jengo limepigwa bomu.

Hii inatisha sana, nimekaa nimejiuliza swali moja
Ikiwa leo hii jengo linaanguka lenyewe , jee kesho likitokea tetemeko la ardhi ni majengo mangapi yatabaki

Ndugu zangu tusije kuwa tunaishi kwenye time bomb.
Naiomba serikali ifanyie ukaguzi majengo yote nchini yenye urefu wa zaidi ya ghorofa mbili na jengo lolote litakaloonekana kuwa liko kwenye hatari ya kuporomoka libomolewe kabla halijaua watu

Mie sijasomea uhandisi lakini najua tuna civil engineers, architectures na quantity surveyors wa kutosha kufanya operesheni hii ili kuepusha majanga mengine kutokea.

Kila mtu anajua uchakachuaji wa sementi na zana nyingine kwenye uienzi na tabia ya wamiliki wengi wenye majengo marefu kuajiri wajenzi wasio na ujuzi wala uzoefu ili kupunguza gharama za ujenzi wanasahau kuwa wakati wa kuporomoka hata wao wanaweza kuwa ndani ya hayo majengo.

BORA LAWAMA KULIKO FEDHEHA, MAJENGO HATARI YABOMOLEWE!

Mkuu, hakuna watu wanaoitwa " architectures".

Amandla.......
 
Mkuu mie hayo siyajui,
Kwa sasa naishi nje, samahani kwa hilo
Lakini suala ni kuwa kama hao wakaguzi walijua kuwa jengo halina kiwango na wakalifumbia macho basi na wao wawajibike.
Watu wamepoteza maisha yao hakuna msamaha hapa

Angalia usikose tenda kwa kuikosoa serikali...... Wanaamini kuikosoa serikali ni sawa sawa na kusema serikali ya CCM imeshindwa kazi... EVIDENCE: Ona wabunge wa CCM wanavyotetea hata Kama wanachokitetea hakina maslahi ya Taifa Kama Elimu ambayo umeona matokeo ya kidato cha nne wakihangaika na kubisha kwa mitaala na kupiga makofi...
 
Ndugu zanguni,Leo tumepatwa na msiba mkubwa baada ya ghorofa refu kuanguka na kufunika watu.Ni dhahir kuwa kuanguka kwa jengo hili kunatokana na makosa ya kiufundi kwani hakuna ripoti inayosema jengo limepigwa bomu.Hii inatisha sana, nimekaa nimejiuliza swali mojaIkiwa leo hii jengo linaanguka lenyewe , jee kesho likitokea tetemeko la ardhi ni majengo mangapi yatabakiNdugu zangu tusije kuwa tunaishi kwenye time bomb.Naiomba serikali ifanyie ukaguzi majengo yote nchini yenye urefu wa zaidi ya ghorofa mbili na jengo lolote litakaloonekana kuwa liko kwenye hatari ya kuporomoka libomolewe kabla halijaua watuMie sijasomea uhandisi lakini najua tuna civil engineers, architectures na quantity surveyors wa kutosha kufanya operesheni hii ili kuepusha majanga mengine kutokea.Kila mtu anajua uchakachuaji wa sementi na zana nyingine kwenye uienzi na tabia ya wamiliki wengi wenye majengo marefu kuajiri wajenzi wasio na ujuzi wala uzoefu ili kupunguza gharama za ujenzi wanasahau kuwa wakati wa kuporomoka hata wao wanaweza kuwa ndani ya hayo majengo.BORA LAWAMA KULIKO FEDHEHA, MAJENGO HATARI YABOMOLEWE!
kuanzia kwa jk kuwa chaguo la Mungu feki. mambo mengi hapa tanzania yanaenda naturally bila usimamizi wa dhati, maisha ya watu hayathaminiwi. watu kwenye mikusanyiko wanapigwa risasi hovyo hakuna hatua za dhati? SABABU NI KUWA RAIS WETU NI FEKI KABISA, HAFAI KUONGOZA HATA KITONGOJI HUYU. MAMBO YANAENDA BORA LIENDE . YEYE ANALALAMIKA , MASHEHE WANALALAMIKA, MAASKOFU WANALALAMIKA, WANANCHI WANALALAMIKA NI KUTOKA NA UKWELI KUWA NCHI HAINA KICHWA KIMEBAKI KIWILIWILI TU. MTU ANAYEENDESHA NCHI KWA MTIZAMO WA MAWAZO YAKE BINAFSI YA KUISHI MIAKA 5 HADI 10 HALI NCHI HII IPO MILELE NI JAMBO LA KUSIKITISHA KABISA. WASHIKAJI WANAMUONA NA YEYE ANAWARUHUSU KUTUMIA MADARAKA YAKE BILA KUZINGATIA TARATIBU. HAIWEZEKANI WATU WAMEKAZANA KUFOJI VYETI VYA KUJENGA MAJUMBA KWAKUWA WAN HELA ZAO. SIDHANI KUWA NA HELA NDO KIGEZO PEKEE CHA KUJENGA MAGHOROFA. TURUDI KWENYE PROFFESIONALLISM, SIO KUCHORA MNCHORO TU WA JENGO BILA KUFANYA GEOPHYSICAL SURVEY WAKATI WA FEASIBILITY STUDY. HAIWEZEKANI KIJANA WA FTC ACHORE MCHORE HALAFU WEWE UKUBALI KUANZA UJENZI. LAZIMA VIHIYO WASIRUHUSIWE KUINGIA KUJENGAMTIRIRIKO HUU UZINGATIWE1. ARCHITECTURAL DESIGN- QUANTITY SURVEYING, 2. CIVIL ENGINEERING DESIGN- STRUCTURAL ENGINEERING, MATERIAL ASSESSMENT, SOIL TESTING AND ANALYSIS ETC3. COST ANALYSIS4. APPROVAL- HEALTH ENGINEER, CIVIL ENGINEER, LOCAL AUTHORITY, CONSULTANT.5. ACTUAL CONSTRUCTION; SUPERVISION, SITE MANAGEMENT, THEFT CONTROL, CONSULTANT ENGINEER, CLIENT ETC6. COMPLETIONSASA KAMA ENGINER MSIMAMIZI NDIYE HUYOHUYO, CIVIL ENGINEER YEYE, CLIENT YEYE MWENYEWE, CONTRACTOR BWANA RAZAKH HAIWEZEKANI NDUGU ZANGU. MUUAJI WA WATU WOTE NA WAHANGA WA AJALI HII NI RAZAKH, MISSON BOY
 
Hivi ni lini watanzania tutafanya kazi bila rushwa jamani. Kama kuna harufu ya rushwa hatua zichukuliwe , tunaangamia jamani. Rushwa imekua ibada sasa, yaani kuna maeneo ukiwa unaona mbali hautahitaji rushwa.

Ablessed, kama Baba mwenye nyumba anakula rushwa, mama anatoa rushwa ya......, hapo familia imekufa. Ndio ya TZ!!!! Rushwa kila kipande ya nchi na njia zingine. Angalia wakuu wa wilaya, walio wengi hawastahili kuwa na nafasi hizo lakini kwa rushwa ya kujuana, wamo manesi ni wakuu wa wilaya, waandishi wa habari school failures, wapo etc, etc, etc, etc,,,,,,,,huu ni mfano mmoja tu! Chenge na vijisenti vyake bado anapewa kuwa mwenyekiti sijui wa kamati ya fedha/bajeti ya bunge ???????
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom