Maghorofa yageuka viwanja Dar

kyanaKyoMuhaya

JF-Expert Member
Jul 8, 2012
1,952
937
attachment.php

Ma ghorofa ya zamani Yakiwa na ujenzi wa nyumba mpya juu.
attachment.php


 
Nishatafakari mkuu, sema kila nikitaka kuchukua hatua nawaza vitu vyenye ncha kali.:shut-mouth:
 
Cha kujiuliza ni kua misingi (foundation) zake zilijengwa ku-accomodate hizo additional floors?

Otherwise tunakaribisha Indira Ghandhi Street zingine "intentionally"
 
Inawezekana tu kama hakuna change of use,nguzo na foundation zilikuwa designed kubeba floor zaidi. Taarifa hizi utazipata kwenye designed information. Kama hakuna designed information, laboratory test inatakiwa kufanywa
 
Duh! Hakika Tza kuna maajabu yaliyozidi ya Musa, kila kitu bora liende, kukiwa na tukio tume zinaaundwa kupewa wale wale wanaojua kuzitafuna pesa za walipa kodi!
 
Back
Top Bottom