Maghala ya Serikali yana shughuli nyingi za kufanya,wakulima warudishiwe korosho zao,maghala yafanye kazi nyingine za kujenga Taifa

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
11,975
20,613
Kwa ujumla,nchi inakula hasara kuhifadhi korosho za wakulima kwa muda mrefu wakati inafahamika wazi kwamba soko limekosekana,ni vyema wakulima warudishiwe korosho zao,na serikali iyatumie maghala kwa shughuli nyingine za kujenga uchumi na zenye faida kwa Taifa.

Kuwarudishia wakulima korosho zao itasaidia kuwapa muda watafute wateja wao wenyewe ndani au nje ya nchi
 
Sawa na inawezekana kurudisha ila wanaona aibu,

walifanya mambo kwa mbwembwe na matamgazo,kutisha watu kwakutumia jeshi,kupora korosho za wanyonge,alafu mwisho wa siku wamekwama,
 
Naona unamtafuta maneno baba jeska

Tatizo lao wana taka kupata faida kubwa kulingana na ghalama walizo ingia kichwa kichwa wakati soko la dunia linajulikana.
Sawa na inawezekana kurudisha ila wanaona aibu,

walifanya mambo kwa mbwembwe na matamgazo,kutisha watu kwakutumia jeshi,kupora korosho za wanyonge,alafu mwisho wa siku wamekwama,
 
Nawaonea huruma sana wakulima wakorosho. Wamepambana na kagomba mdhurumati.
 
Back
Top Bottom