Mageuzi ya aina yake kwa MMU wote.

Wisest man

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
993
332
Habari yenu wakuu!
Hapa jf unakuta mtu anakwambia labda jana alimuona member mwenzake wa jf mlimani city, mwingine beach, ooh mwingine k/koo, mwingine posta nk. Nauliza ni kitu kinamfanya mtu amshangae mwana jf mwenzake kama ni kitu ajabu sana? mbona hawafanyi hivyo kwenye mitandao mingine ya kijamii kama fb,twitter,instagram,whatsapp nk? harafu wewe kama mwana jf(MMU) ni kitu gani kinakufanya umuhisi vibaya member mwenzako kiasi cha kuanza kuogopana??
Sasa nataka kuleta UJIRANI MWEMA kwa kila mwana MMU, kila mwana-MMU aweke anuani yake ili kila member aweze kumjua mwenzake na kujenga urafiki wa karibu, na nnapendekeza na Avatar ziwe ni muonekano halisi wa member husika. Jibu kwanza maswali harafu tuendelee.
Nawasilisha.
 
ni mimi nna bichwa gumu ama sijaelewa.. Em nikiamka nirudi
 
Hasa kuogopana ni kwa ajili ya itikadi hasa za kisiasa. Siamini kama tukikutana tunaweza kushangaana. Ukiamua kuwasiliana you can bila hata a real address. pm inatosha. ................................................. Kiukweli sitamani kabisa kukutana na jf memba wa ke...............,.,,,,,,,,, mengine nimesahau
 
Sasa hizo tofauti za kiitikadi za kisiasa zinahusikaje humu MMU wakati wanasiasa wana jukwaa lao?
 
Haya jamani mimi naandha!
Hiko kichwa cha kwandha ktk avatar ni mimi mwenyewe!
...
Piga nö hizi utanisouma: 112
 
Last edited by a moderator:
Niko kwa tumbo tandale karibuni sana,sijaoa am a chronic single ready to mingle
 
tulikutana kijf jf ni bora tuachane ki jf jf. Ikitulazimu kukutana, iwe imetokea tu.
 
jamani karibuni kigambonino.....ukivuka tuu nistue nije kukufata...siku mojamoja na nyinyi mpande panton au sioooo..
 
Back
Top Bottom