Wisest man
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 993
- 332
Habari yenu wakuu!
Hapa jf unakuta mtu anakwambia labda jana alimuona member mwenzake wa jf mlimani city, mwingine beach, ooh mwingine k/koo, mwingine posta nk. Nauliza ni kitu kinamfanya mtu amshangae mwana jf mwenzake kama ni kitu ajabu sana? mbona hawafanyi hivyo kwenye mitandao mingine ya kijamii kama fb,twitter,instagram,whatsapp nk? harafu wewe kama mwana jf(MMU) ni kitu gani kinakufanya umuhisi vibaya member mwenzako kiasi cha kuanza kuogopana??
Sasa nataka kuleta UJIRANI MWEMA kwa kila mwana MMU, kila mwana-MMU aweke anuani yake ili kila member aweze kumjua mwenzake na kujenga urafiki wa karibu, na nnapendekeza na Avatar ziwe ni muonekano halisi wa member husika. Jibu kwanza maswali harafu tuendelee.
Nawasilisha.