Kalunya
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 8,184
- 2,000
Ashukuru hayupo,yangemkuta nae ya kuishi jela.Ni kweli kabisa si vizuri kuwashililia watu kwenye magereza wenye makosa madogo madogo hao wangeweza kufanya kazi za kijamii zikiwemo za kufagia mitaa na kuzibua mitaro ya chamber ambazo zinaziba na kusababisha maji kutiririka ovyo mitaani.Kazi ya kuwalisha wafungwa ni costive sana licha ya kuna mtu alishauri wafanyishwe kazi usiku na mchana na wakitembezewa mateke
Ukiwa huru boresha maisha ya jela Ili ukiwa mfungwa ikufae jela.
Tetea sheria kandamizi ukiwa huru Ili siku ukiwa mfungwa zikufae