Magereza ya mafisadi

MLAU

JF-Expert Member
Aug 23, 2007
4,726
3,354
Ni matumaini yangu baada ya kukamilika kwa uundwaji wa Mahakama ya mafisadi then pia Serikali itatenga Magereza mahususi kwa ajili ya wale watakopatikana na hatia kufungwa ktk gereza tofauti na la watu wa kawaida.

Maana naamini wengi wao watakuwa ni watu wenye nafasi kubwa Serikalini au ktk taasisi zake au ktk makapuni makubwa ya biashara sasa.

Sasa wenye sifa hizo huwezi tu kuwachanganya na wafungwa wengine.Nimeiona hiyo ktk nchi za wenzetu hasa marekani,ulaya na asia ya mbali,

Vipi kwa hapa kwetu itakuwaje??
 
Wawaweke tu humohumo ili wajue shida wanazopata watu wenyewe wanajua kutunza vitambi vyao tu!
 
Back
Top Bottom