Jephta2003
JF-Expert Member
- Feb 27, 2008
- 6,501
- 6,200
Papa Msofe walikua na ofisi ya Madini Mtaa wa Allykhan Upanga,wako vizuri mno ukiingia kwenye anga huchomoki1. Papa Msofi
2. Ndama mtoto ya Ng'ombe
3. Mzamiri Katunzi
4. Jack Pemba!
Hawa watu kaa nao mbali sana,unapigwa pesa huku unajiona!