Magazetini (Jumapili) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Magazetini (Jumapili)

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Sep 10, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Sep 10, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
 2. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #2
  Sep 10, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,966
  Likes Received: 1,858
  Trophy Points: 280
  katika yote nimeipenda habari ya mswati manake huyu nafikiri ka mwaka anapanga zamu kwa wakeze kwa mara moja kwa siku tatu tuu mwaka mzima.
   
 3. zaleo

  zaleo JF-Expert Member

  #3
  Sep 10, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,733
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Wizi wa wabongo kazi za wasanii ndo umemfikisha Dudubaya hapo! Inanikumbusha mtu mmoja Kariakoo aliyeamua kumnunulia gari marehemu Moshi William baada ya kumwona anaiga kutembea kwa bata kila kukicha wakati jina lake limejaa dunia nzima na watu wengine wanajenga maghorofa kwa kazi za wasanii. Wizi mbaya jamani, unapitiliza mno!
   
 4. Ngangasyonga

  Ngangasyonga JF-Expert Member

  #4
  Sep 10, 2012
  Joined: Sep 13, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu King Mswati, watu wa haki za binadamu mboni hawapigi kelele! kila mwaka anaoa, anawamudu vipi????
   
 5. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #5
  Sep 10, 2012
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  kaza buti mwakyembe, hakuna kesi ya kujibu hapo... labda wakulipue na bomu. maana ndio zao
   
 6. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #6
  Sep 10, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mimi nimipenda hiyo ya watumwa wa kiimani wanaoshindanisha mitume wao.
   
 7. Mwanahisa

  Mwanahisa JF-Expert Member

  #7
  Sep 10, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 1,397
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hiyo ya jua kuzimika ni uandishi wa makala bila kufanya uchunguzi wakujiridhisha matokeo yake jamii inapotoka na hadithi zakufikirika. Kwa mwenye nia na habari hii asome Marko 1:15 utagundua tofauti ya Chronos na Kairos yaani Time and Timing ya kwanza ni Quantity na yapili ni Quality, yaani time is sequential while timing is significant. Kuna mengi yakujadili lakini hapa sio mahali pake.
   
 8. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #8
  Sep 10, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,470
  Likes Received: 5,852
  Trophy Points: 280
  Dini za watu wengine kabisa.....sawa na kushabikia ARSENAL na kuiwacha SIMBA yangu kipenzi
   
 9. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #9
  Sep 10, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Mkuu asante sana kwa kutupa habari
   
Loading...