Magazeti ya uk na us hayasemi kuhusu ushindi wa jk urais tanzania

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
LEO MAGEZETI YOTE YA US NA UK; Hayasemi kitu chochote kuhusu Ushindi wa JK
Wameweka Story Muhumu kama William Ruto aenda THE HAGUE kujitetea kuhusu Mauaji wakati wa Uchaguzi Kenya; Kuhusu Mtalii kuliwa na Simba akioga huko Zimbabwe. Au NIGERIA silaha zimekamatwa na ISRAEL ambazo wanadhani zingeenda GAZA.

Hii inaonyesha kuwa pamoja na kuwa na Madini Kama Gold number 4 Afrika kwa Uzalishaji; URANIUM ikanza kuzalishwa # 2 AFRICA; GAS kama wakianza kuchimba iliyopatikana hivi karibuni # 5 AFRICA... NA PAMOJA NA USALAMA WETU; still wanatuona kama watu wasiofaa... Sababu ni Nchi Yetu IKIFANYA MAENDELEO BORA KWA WANANCHI WAKE NA MADINI TULIYONAYO WATAJILETA LAKINI TUKIENDELEA HIVI NA WIZI UDANGANYIFU HATUWEZI KUAMINIKA
 
leo magezeti yote ya us na uk; hayasemi kitu chochote kuhusu ushindi wa jk
wameweka story muhumu kama william ruto aenda the hague kujitetea kuhusu mauaji wakati wa uchaguzi kenya; kuhusu mtalii kuliwa na simba akioga huko zimbabwe. Au nigeria silaha zimekamatwa na israel ambazo wanadhani zingeenda gaza.

Hii inaonyesha kuwa pamoja na kuwa na madini kama gold number 4 afrika kwa uzalishaji; uranium ikanza kuzalishwa # 2 africa; gas kama wakianza kuchimba iliyopatikana hivi karibuni # 5 africa... Na pamoja na usalama wetu; still wanatuona kama watu wasiofaa... Sababu ni nchi yetu ikifanya maendeleo bora kwa wananchi wake na madini tuliyonayo watajileta lakini tukiendelea hivi na wizi udanganyifu hatuwezi kuaminika

hawa jamaa sio kabisa na tunatakiwa na tunaweza kuwa na bajeti ambayo haiwategemei,tukiweza kufanya hivyo watatia akili, sema tu hawa mafisadi wamen'gn'gania madaraka na leo washaapishana.
 
hawa jamaa sio kabisa na tunatakiwa na tunaweza kuwa na bajeti ambayo haiwategemei,tukiweza kufanya hivyo watatia akili, sema tu hawa mafisadi wamen'gn'gania madaraka na leo washaapishana.
sisi hatuna mpya...nimeangalia TV zote international sijaona kabisa habari za uchaguzi wa TZ... Wanatuona hatu mpya tuko tu, kama wadudu tunaburuzana...
 
From Reuters kuhusu uchaguzi Tz


Kikwete inaugurated, orders Tanzania forces on alert

Sat Nov 6, 2010 5:30pm GMT
By Fumbuka Ng'wanakilala
DAR ES SALAAM (Reuters) - Tanzanian President Jakaya Kikwete told security forces on Saturday to be on the alert after being sworn in for a second term following elections marred by low voter turnout and allegations of vote rigging.
The main opposition Chadema party, whose candidate finished closest to Kikwete, has rejected the outcome, asserting fraud had occurred. Party leaders had warned before the vote that they would consider "civil disobedience" if the election was rigged.
Tanzania's electoral commission and security intelligence agencies were accused by opposition parties of falsifying both the presidential and parliamentary results in favour of Kikwete and his party following the October 31 vote.
Local and foreign observers, including the European Union, voiced concern about the transparency of the vote tabulation.
For three days, police used tear gas and water cannon against protesters angry at the delay in some results and the credibility of others in the commercial capital Dar es Salaam and some other parts of east Africa's second biggest economy.
The election was seen as a test of the dominance of the ruling party but the low turnout weakened Kikwete's victory.
The turnout of 43 percent of the 20 million registered voters was the lowest in Tanzanian history.
"The election is over. We should let bygones be bygones and ensure peace and stability prevail," Kikwete, 60, who garnered 61 percent of the vote, said in his inauguration speech.
"I would like our security forces to be on alert. We should not give opportunity to anybody or any groups of people from inside or outside Tanzania to endanger our peace," said Kikwete after a 21-gun salute in his honour.
Tanzanian elders awarded Kikwete a traditional African stool and a shield decorated in the colours of the national flag as a large crowd that filled a 30,000-capacity stadium cheered.
Presidents Jacob Zuma of South Africa, Robert Mugabe of Zimbabwe, Mwai Kibaki of Kenya, Rupiah Banda of Zambia and Joseph Kabila of Democratic Republic of Congo were present.
KIKWETE WOUNDED
The Chadema party leader, Willibrod Slaa, boycotted the ceremony and its top leaders said they would meet to decide their next course of action.
The other main opposition parties, Civic United Front (CUF) and NCCR-Mageuzi, also complained of gross election irregularities. They said they accepted the results but have asked for talks with the CCM to discuss the election process.
Kikwete must step down after his next term and regional analysts said he would not be compelled to accommodate the factions in his party to maintain their support, and that this may free him to made radical changes and improve the economy.
Tanzania, Africa's fourth biggest gold producer, has enjoyed relative stability in a volatile region but is mired in poverty.
Foreign donors cut heir contributions to the 2010-11 budget in protest at the slow pace of reforms by Kikwete.
"In his next five years, Kikwete needs to focus on... the modernisation of agriculture and creating small-scale industries and investment in infrastructure," said Palamagamba Kabudi, a professor at the University of Dar es Salaam's faculty of law.
"Kikwete and CCM have been wounded in the election by the strong performance of opposition candidates. It's a wakeup call for him to get his act together in his second term," said Brian Maganga, a college student in Dar es Salaam.


© Thomson Reuters 2010. All rights reserved. Users may download and print extracts of content from this website for their own personal and non-commercial use only. Republication or redistribution of Thomson Reuters content, including by framing or similar means, is expressly prohibited without the prior written consent of Thomson Reuters. Thomson Reuters and its logo are registered trademarks or trademarks of the Thomson Reuters group of companies around the world.
 
Wewe unazungumzia vyombo vipi vya habari? Huu ndio tunaita Uzushi. AFP, reuters etc waaote wameripoti matokeo hayo.
 
Kwani JK kashinda, kashinda kwa kura gani, au za wizi, wanaona hawawezi kuripoti mtu aliyeshinda kwa ushindi wa kupewa
 
is AFP & Rueters -- Newspapers or just news reports??
 
hawaoni kama uchaguzi ulifanyika ...we kwa karne hii tume inakuja na reason eti tulikosea kujumlisha kura si usenge huo
 
Uchaguzi hauna news, watu walishasema hata kabla ya uchaguzi kwamba Kikwete atashinda, wapinzani wataongeza viti bungeni, kutakuwa na uchakachuaji, sasa waandike kipi kipya? Kikwete alivaa suti ya rangi gani alivyokuwa anaapishwa ?

Halafu bongo hamuuani vya kutosha, the western world wanataka kuangalia habari za watu wanaouana, George Carlin said so. Ndiyo maana unasikia sana wanaongelea chaguzi za Guinea na Ivory Coast.
 
hawaoni kama uchaguzi ulifanyika ...we kwa karne hii tume inakuja na reason eti tulikosea kujumlisha kura si usenge huo

jamani we appreciate thefeeling that kura zimeibiwa na jinsi sisiem walivyo haribu taswira yetu katika anga za kimataifa, but some language here are uncallful tuangalie tunapoandika tupunguze emotion ili tusije haribu heshima ya JF.
Personally am so disappointed by the system na something must be done jamani
 
Vyombo vya nje vilisema JK atashinda hata kabla ya kutangazwa mshindi, kushinda JK is no longer news, Ni obvious news kama angeshindwa , kwa wazungu Ruto kutinga kwa pilato ndio picha wanayoitaka kutoka Afrika.

Yakiandika ya kwetu inatosha sana.
 
Hata wasiandike poa tu, they don't get it right anyway. Hivi uchaguzi si uchaguzi mpaka uandikwe na vyombo vya nje ?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom