Magazeti ya udaku yatakavyoandika baada ya kifo cha Sharo Milionea.

Nicas Mtei, charminglady na Madame B mmenivunja mbavu kwa kweli :becky:. najua ni udaku tuu lakini at times haya magazeti hunichefua sana wanapo-take kifo kimzaha kiasi hiki. no doubt heading kama hizo zitatumika ili kuuza nakala bila kujali hali ya wafiwa/ndugu
 
Last edited by a moderator:

mkuu... tena cha ajabu unakuta heading haziendani kabisa na content....
 
Last edited by a moderator:
Dili lingine la Shigongo. Global Publishers watakuwa washatua tanga saa hizi.. Kutengeneza hela kwa migongo ya wengine. Mungu awasamehe 2!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
kesho utaanza kuviona.... kisha global publishers waongeze faida kama walivyopata kwa kanumba....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom