Magazeti ya udaku yatakavyoandika baada ya kifo cha Sharo Milionea. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Magazeti ya udaku yatakavyoandika baada ya kifo cha Sharo Milionea.

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Nicas Mtei, Nov 27, 2012.

 1. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #1
  Nov 27, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  1.Mzimu wa Sharomilionea wamtokea
  King Majuto.

  2.Mzimu unaotafuna Bongo movies haujamaliza Kazi,baada ya kuikosa Roho ya Vengu na Sajuki sasa waisaka
  roho ya JB NA RAY

  3.Masele Chapombe hausishwa na kifo cha Sharo.

  4.Mzimu wa Sharo wamtokea prodyuza
  wa Mac Media

  5.Kumbe Sharo kaponzwa na ubishi? Alivunja moja ya shart la freemason

  6.Mzaz wa Sharo amtaja mbaya wa kifo cha Mwanae

  7.Shetani lililotoa roho ya Mafisango ndo
  katoa roho ya Sharo

  8.Ajal ya sharo mauzauza kibao,king Majuto ahusishwa.


  9.Ndugu wa sharo wagombania pamba za Marehemu.

  10.Kiatu alichopata nacho ajali SHARO
  chaonekana Baharini.

  11. Mwanamke aibuka adai ana mimba ya Sharo. Mwingie aleta mtoto.
   
 2. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #2
  Nov 27, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 23,655
  Likes Received: 3,629
  Trophy Points: 280
  12. Kifo cha SHARO MILLIONEA
  King Majuto ana nini?
  Huyu ni msanii wa tatu kufa akiwa chini yake
   
 3. snochet

  snochet JF-Expert Member

  #3
  Nov 27, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 1,267
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  mh!! hawa watu wenye mipete mingi mikononi nawaogopa!!!
   
 4. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #4
  Nov 27, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  kama ulikuwepo!
   
 5. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #5
  Nov 27, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 23,655
  Likes Received: 3,629
  Trophy Points: 280
  Afu ukumbuke kuwa Miluzi mingi humpoteza mbwa na Si wote wasemao bwanabwana watauona ufalme wa Mungu.
   
 6. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #6
  Nov 27, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 29,284
  Likes Received: 8,454
  Trophy Points: 280
  Hakyanan kweli....Tena Nicas Mtei hapo utakuwa umewasaidia kweli kwenye vichwa vya habari..
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #7
  Nov 27, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,832
  Likes Received: 1,067
  Trophy Points: 280
  mabwaku...

  13. Sharo alijitabiria kifo chake....

  14. Ushirikina wahisishwa na ajali ya sharo

  15. Alipokaribia kupata ajali aliaga...
   
 8. ERIC JOSEPH

  ERIC JOSEPH JF-Expert Member

  #8
  Nov 27, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mengi yatasemwa kuhusu kifo cha0sharo
   
 9. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #9
  Nov 27, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 46,880
  Likes Received: 1,965
  Trophy Points: 280
  Hivi nyie mmekosa kazi za kufanya....alaah!
   
 10. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #10
  Nov 27, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,832
  Likes Received: 1,067
  Trophy Points: 280
  daddy kwa uongo!!!!!!
   
 11. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #11
  Nov 27, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 23,655
  Likes Received: 3,629
  Trophy Points: 280
  Jikatae chalii.
   
 12. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #12
  Nov 27, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,696
  Likes Received: 900
  Trophy Points: 280
  Udaku hoyeee!
   
 13. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #13
  Nov 27, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 46,880
  Likes Received: 1,965
  Trophy Points: 280
  hahaha nimekumbuka vile tulikua tukiambiwa na mzee pindi anapoona tumeshadadia jambo lililoshika hatamu....kumbe hapo na yeye mwenyewe anawasikiliza maana alikua hajui hata moja...
   
 14. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #14
  Nov 27, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 46,880
  Likes Received: 1,965
  Trophy Points: 280
  kama sijakuelewa vile...
   
 15. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #15
  Nov 27, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,218
  Likes Received: 452
  Trophy Points: 180
  Pipo bhana.... Kweli Nicas Mtei wewe ni creative! Mmasai hapo angekuambia "mepatia lakini imebunisha". Ila kiukweli yatasemwa mengi na yataandikwa mengi sana tena for weeks if not for months. The guy has gone forever that's reality we have to accept
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #16
  Nov 27, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,832
  Likes Received: 1,067
  Trophy Points: 280
  teh teh teh......
   
 17. shanature

  shanature JF-Expert Member

  #17
  Nov 27, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 712
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  tuondoke mwananangu hapa kuna fiksi kama za naibu waziri tanzania ni muungano wa zimbabwe na zanzibar
   
 18. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #18
  Nov 27, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Nicas Mtei yaani hapo ndo umewasaidia kupata titles!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #19
  Nov 27, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  hahahaha. Wait
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #20
  Nov 27, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Tayari wadaku wameshajiandaa. Wengne wameshaenda Tanga. Halafu wapo wasanii watakaochakachua rambirambi
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...