mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,701
HABARI KUU
1:TANZANIA DAIMA:Mbowe awageuka polisi
2:UHURU:Wauza unga sasa wadaiwa kuwafuata mateja vituoni (Inafanana na ya Mbowe/Madawa)
3:MAJIRA:Mbowe awadhibiti RC Makonda, Siro
4:JAMBO LEO:Elimu ya Makonda yazua Jambo Dar (Inafanana na ya Mbowe/mzizi ni Vita vya madawa)
5:HABARI LEO: Mahakama yampa ahueni Mbowe
6:MTANZANIA: Jinsi Mbowe alivyopekuliwa
7:NIPASHE:Mahakama yamuokoa mbowe kuwekwa Selo.
8:MWANANCHI:Mahakama yaamuru Mbowe asikamatwe
ANGALAU YA KIINGEREZA
1:THE CITIZEN:Revealled Manji owns 99pc of TIgo Tanzania
2:THE GUARDIAN: Foreigners now to undergo New work permit Scrutiny
3DAILY NEWS:We'll pay up all debts PM
Nimeshangazwa baada ya kupitia tena na tena habari kuu za magazeti karibu yote ya kiswahili yanaandika habari WANAYOIITA KUU MOJA kuhusu MBOWE Mahakamani.
Nimejiuliza hivi huwa kuna sehemu wanaenda kupewa muongozo wa kuandika habari kuu iwe moja maana kila gazeti linaofisi zake na ziko mahala tofauti tofauti lkn tunaaminishwa habari kuu nchini hiyo.
Au wanaandika kila ambacho watu wanapenda kusikia na kusoma?
Au wanaandika kile ambacho kitafanya magazeti yanunuliwe?
Au watu wanatumia magazeti kuongoza fikra za wananchi nini cha kujadili?
Hii imepelekea baadhi yetu humu kuamini nchi nzima hakuna kinachofanyika zaidi ya vita vya madawa ya kulilevya. Sentesi za watu kama hawa ni mazao ya habari kuu.
Kama ikiendelea hivi badi hata watu wa habari wanaweza kuwa kichocheo kikubwa cha umasikini .
Pongezi ziende kwa magazeti ya kiingereza maana angalau habari kuu zao mara zote huwa zinatofautiana.