MAGAZETI YA SERIKALI NA MSIBA WA MADIBA - Maswali Magumu

MUHIMU KWAO NI:

KIKWETE AMEKULA WAPI,
GHARIB AMESALIMIANA NA NANI,
PINDA AMETUNGA HADITHI GANI,
NA SHEIN AMEFUNGUA WARSHA IPI.......

Wasalaam!

zito kaongea nini, slaa.!?
Na ujinga mwinge mwingi
 
Watanzania tunakosea sana kuona kuwa MANDELA ni muhimu sana kuliko sisi wenyewe.[/QUOTE

Unazungmza hivyo kwa sababu maazeti unayoshabikia ndiyo yaliyokosolewa. Je ingekuwa huyashabikii ungesema hayo? Kwa maelezo yako hata maombolezo ya siku 3 yaliyotangazwa na serikali hayana maana kwako. Siasa za Tanzania hopeless kabisa
 
....kazi yao kuandika uzushi tu,utafikiri nao ni chama cha siasa.ipo siku watajuta hawa jamaa....
 
...taarifa zinamalizika kuwa edited saa tatu kamili...then wanaaanza kudurufu nakala.....ikifika saa tano usiku wanakuwa washamaliza na kuanza kugawa nakala
 
Serikali imeshaoza...unapoteza muda mkuu..wao wanachoangalia ni mishahara yao tu basi na ikishafika saa 11 tu muda wa kazi umekwisha hawajui umuhimu wa kila kitengo..kazi yao ni kujikomba kwa Raisi na kumpamba hata km anafanya madudu.
 
wasingeacha inawezekana wamechapisha mapema kabla ya taarifa kutoka. hata nipashe hawajaandika hii habari.
 
magazeti ya serikali yanaajili watu wenye kuitetea si wenye uwezo,taarifa ya kifo ilitangazwa awali na mkuu wa kaya south kwa kimombo kinachowapiga chenga wangeandika nn?lugha haipandi.
 
kuna uwezekano wakati mandela amekufa tayari magazeti yalikuwa yamexhasambazwa kw mawakala au ndo yanaelekea mikoani
 
Acha ujinga... Imekuwaje mwananchi wameandika..? kwa hiyo kwa mwananchi amekufa mapema na kwa magazeti ya serikali kachelewa kufa..???



hawa waandishi wa magazeti ya serikali kutwa wako bar na gesti wanapata muda wapi wa kujua habari mpasuko
 
And those are our Interests, coz they our leaders. Unafikiri msbiba wa Mandela ni muhimu sana kuliko Masuala ya Tanzania?

wewe ni mbumbumbu kweli Mandela ni mtu muhimu sana kuliko viongozi wote waliotawala Tanzania ukimwondoa Nyerere na Mwinyi, kumbuka Mkapa alipojengewa Hoteli ya kitalii na wawekezaji wa migodi Tanzania alialikwa kwenye ufunguzi alikataa kabisa kufika akidai siwezi kuwasaliti Watanzania mimi, kwa nini ujenge hoteli huku ukaacha kujenga TANZANIAambako kuna tatizo la ajira
 
Tanzania ndiyo ulikuwa mstari wa mbele kuzikomboa nchi za kusini mwa afrika,tanzania ilikuwa na umuhimu wa kufuatilia kifo cha MADIBA.
 
hawa waandishi wa magazeti ya serikali kutwa wako bar na gesti wanapata muda wapi wa kujua habari mpasuko
Hapana, wanakesha kutafuta na kuandika yafuatayo...
Chadema Hoi,
CDM chalii
CDM yasambaratika,
CDM hoi,
CDM.... CDM.... CDM......


 
Magazeti TZ wanachapa saa 3 usiku.saa tano wanayawahisha mikoani.
yaani hata zile mechi za usiku ulaya wanashindwa kuongeza caption ya matokeo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom