Ibada ya kwanza
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 3,282
- 1,806
Wanasubir habar mbaya za chadema hata ingekua saa tisa usiku wangerud kuchapa ili itoke on time
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pa! Teh teh tih..! Ko ha ha haaaAcha ujinga... Imekuwaje mwananchi wameandika..? kwa hiyo kwa mwananchi amekufa mapema na kwa magazeti ya serikali kachelewa kufa..???
MUHIMU KWAO NI:
KIKWETE AMEKULA WAPI,
GHARIB AMESALIMIANA NA NANI,
PINDA AMETUNGA HADITHI GANI,
NA SHEIN AMEFUNGUA WARSHA IPI.......
Wasalaam!
madima kafa saa ngapi hilo lingekuwa swali lako kwanza then magazeti tuliyapa leo yalimalizika kuchapwa saa ngapi?
Watanzania tunakosea sana kuona kuwa MANDELA ni muhimu sana kuliko sisi wenyewe.[/QUOTE
Unazungmza hivyo kwa sababu maazeti unayoshabikia ndiyo yaliyokosolewa. Je ingekuwa huyashabikii ungesema hayo? Kwa maelezo yako hata maombolezo ya siku 3 yaliyotangazwa na serikali hayana maana kwako. Siasa za Tanzania hopeless kabisa
Acha ujinga... Imekuwaje mwananchi wameandika..? kwa hiyo kwa mwananchi amekufa mapema na kwa magazeti ya serikali kachelewa kufa..???
Acha ujinga... Imekuwaje mwananchi wameandika..? kwa hiyo kwa mwananchi amekufa mapema na kwa magazeti ya serikali kachelewa kufa..???
And those are our Interests, coz they our leaders. Unafikiri msbiba wa Mandela ni muhimu sana kuliko Masuala ya Tanzania?
Hapana, wanakesha kutafuta na kuandika yafuatayo...hawa waandishi wa magazeti ya serikali kutwa wako bar na gesti wanapata muda wapi wa kujua habari mpasuko