MAGAZETI YA SERIKALI NA MSIBA WA MADIBA - Maswali Magumu

MNYOO JOGOO

Senior Member
Apr 2, 2012
195
94
  • Licha ya kuwa chombo cha habari cha serikali iweje mshindwe kutoa story ya kifo cha jemedari wa Afrika mzee wetu Madiba?
  • Je mwananchi na Rai wanaweza kuwa na taarifa hizi mapema kuzid nyinyi mlio na access na wizara ya mambo ya ndani, wizara ya mambo ya nje, wizara ya habari, kurugenzi ya mawasiliano ikulu etc
  • Au je; ni kweli kifo cha kamanda wa afrika hakikuwa na mhimu kuwa story kwenu?
  • Nadhani bado tuna nafasi ya kubadilika, Mwananchi wanaweza kwa nini nyinyi mshindwe?

I hope you would take this positively
 
madima kafa saa ngapi hilo lingekuwa swali lako kwanza then magazeti tuliyapa leo yalimalizika kuchapwa saa ngapi?

Kama haufahamu, Tanzania News Papers + Mwananchi ndo pekee wenye mashine kubwa za kuchapisha. Kina Nipashe, Guardians na wengine wanategemea hapo kuprint gazeti zao.... Hoja yako bila shaka inakosa nguvu. Tunataka kuiona daily news + habari leo ikiwa active zaidi ya hapo.
 
MUHIMU KWAO NI:

KIKWETE AMEKULA WAPI,
GHARIB AMESALIMIANA NA NANI,
PINDA AMETUNGA HADITHI GANI,
NA SHEIN AMEFUNGUA WARSHA IPI.......

Wasalaam!
 
  • Licha ya kuwa chombo cha habari cha serikali iweje mshindwe kutoa story ya kifo cha jemedari wa Afrika mzee wetu Madiba?
  • Je mwananchi na Rai wanaweza kuwa na taarifa hizi mapema kuzid nyinyi mlio na access na wizara ya mambo ya ndani, wizara ya mambo ya nje, wizara ya habari, kurugenzi ya mawasiliano ikulu etc
  • Au je; ni kweli kifo cha kamanda wa afrika hakikuwa na mhimu kuwa story kwenu?
  • Nadhani bado tuna nafasi ya kubadilika, Mwananchi wanaweza kwa nini nyinyi mshindwe?

I hope you would take this positively

Nadhani issue hapa ni TAARIFA YA KIFO HICHO kimetolewa na media za Tanzania au la. Nani katoa haina mantiki yoyote.
 
MUHIMU KWAO NI:

KIKWETE AMEKULA WAPI,
GHARIB AMESALIMIANA NA NANI,
PINDA AMETUNGA HADITHI GANI,
NA SHEIN AMEFUNGUA WARSHA IPI.......

Wasalaam!

And those are our Interests, coz they our leaders. Unafikiri msbiba wa Mandela ni muhimu sana kuliko Masuala ya Tanzania?
 
Kama hujaweza kuona kitu cha maana kwenye maisha ya Madiba, na mchango wake kwa jamii... NO WONDER UMEANDIKA ULICHOKIANDIKA
Mandela ana umuhimu, lakini siyo kuliko raia wa Tanzania hata kama ni mtoto aliyezaliwa leo huko vijijini. Lazima tujifunze kujivunia vya kwetu.
 
Kama haufahamu, Tanzania News Papers + Mwananchi ndo pekee wenye mashine kubwa za kuchapisha. Kina Nipashe, Guardians na wengine wanategemea hapo kuprint gazeti zao.... Hoja yako bila shaka inakosa nguvu. Tunataka kuiona daily news + habari leo ikiwa active zaidi ya hapo.

ili iweje? Tanzania kwanza wengine baadaye.
 
  • Licha ya kuwa chombo cha habari cha serikali iweje mshindwe kutoa story ya kifo cha jemedari wa Afrika mzee wetu Madiba?
  • Je mwananchi na Rai wanaweza kuwa na taarifa hizi mapema kuzid nyinyi mlio na access na wizara ya mambo ya ndani, wizara ya mambo ya nje, wizara ya habari, kurugenzi ya mawasiliano ikulu etc
  • Au je; ni kweli kifo cha kamanda wa afrika hakikuwa na mhimu kuwa story kwenu?
  • Nadhani bado tuna nafasi ya kubadilika, Mwananchi wanaweza kwa nini nyinyi mshindwe?

I hope you would take this positively

Kwani MANDELA alikuwa mtumishi wa srikali ya TANZANIA?
 
wapo kigoma kuhujumu ziara ya dr slaaa, habari za bondeni hawa habari kabisaa na jana wamechemka kuhujumu..
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/563775-habari-leo-lina-wahariri-wasomi-kweli.html
  • Licha ya kuwa chombo cha habari cha serikali iweje mshindwe kutoa story ya kifo cha jemedari wa Afrika mzee wetu Madiba?
  • Je mwananchi na Rai wanaweza kuwa na taarifa hizi mapema kuzid nyinyi mlio na access na wizara ya mambo ya ndani, wizara ya mambo ya nje, wizara ya habari, kurugenzi ya mawasiliano ikulu etc
  • Au je; ni kweli kifo cha kamanda wa afrika hakikuwa na mhimu kuwa story kwenu?
  • Nadhani bado tuna nafasi ya kubadilika, Mwananchi wanaweza kwa nini nyinyi mshindwe?

I hope you would take this positively
 
Mandela ana umuhimu, lakini siyo kuliko raia wa Tanzania hata kama ni mtoto aliyezaliwa leo huko vijijini. Lazima tujifunze kujivunia vya kwetu.
Hakuna aliyesema hicho ulichokiandika................ Kwani nani kasema waandike gazeti zima mambo ya kifo cha Mandela..??? Unapotetea hoja, jaribu kuwa realistic and not just for mthe sake ya kuandika...
 
Back
Top Bottom