MNYOO JOGOO
Senior Member
- Apr 2, 2012
- 195
- 94
- Licha ya kuwa chombo cha habari cha serikali iweje mshindwe kutoa story ya kifo cha jemedari wa Afrika mzee wetu Madiba?
- Je mwananchi na Rai wanaweza kuwa na taarifa hizi mapema kuzid nyinyi mlio na access na wizara ya mambo ya ndani, wizara ya mambo ya nje, wizara ya habari, kurugenzi ya mawasiliano ikulu etc
- Au je; ni kweli kifo cha kamanda wa afrika hakikuwa na mhimu kuwa story kwenu?
- Nadhani bado tuna nafasi ya kubadilika, Mwananchi wanaweza kwa nini nyinyi mshindwe?
I hope you would take this positively