Magazeti ya "Msema kweli,Nyakati na Jibu la Maisha" Mjitafakari

malisoka

JF-Expert Member
Jul 8, 2012
1,860
2,637
Jana nimesoma magazeti ya kikristo ya Jibu la Maisha, Nyakati na Msema kweli ya wiki.

Ukiancha habari za mafundisho na matangazo. zele habari mbalimbali ambazo sio za dhehebu hilo karibia zinafanana.

Je hawa wahariri ni mtu mmoja au waandishi wa habari ni hao hao?

Kwa mfano kuna habari ya Israel inavyosaidia wakulima wa Afrika ipo katika magazeti karibu yote na hata picha na nk.

Nina shauri Mjiangalie.

Manaboa sana. fanyeni kazi msicopy na ku paste habari kutoka sehemu moja kwenda nyingine au mtuambie tununue gazeti moja tu.

Inaumiza kama unanunua magazeti 3 ya madhehebu 3 tofauti TAG, EAGT na karibu habari zinafanana.

Acheni Uvivu.
 
taarifa ingekuwa na mifano mingi Zaidi ingekuwa poa. habari moja kuwa kwenye magazeti tofauti sio tatizo. kabla ya kutuuliza huku ungesoma majina ya waandishi na wahariri wa hayo magazeti maana kila gazeti huandika safu ya waandishi waandamizi na wahariri.
 
Jana nimesoma magazeti ya kikristo ya Jibu la Maisha, Nyakati na Msema kweli ya wiki.

Ukiancha habari za mafundisho na matangazo. zele habari mbalimbali ambazo sio za dhehebu hilo karibia zinafanana.

Je hawa wahariri ni mtu mmoja au waandishi wa habari ni hao hao?

Kwa mfano kuna habari ya Israel inavyosaidia wakulima wa Afrika ipo katika magazeti karibu yote na hata picha na nk.

Nina shauri Mjiangalie.

Manaboa sana. fanyeni kazi msicopy na ku paste habari kutoka sehemu moja kwenda nyingine au mtuambie tununue gazeti moja tu.

Inaumiza kama unanunua magazeti 3 ya madhehebu 3 tofauti TAG, EAGT na karibu habari zinafanana.

Acheni Uvivu.
Hamia kwenye hili hapa la mtandaoni (e-newspaper), tena linapatikana bure kabisa linakufuata mwenyewe uliko kupitia namba yako ya whatsaap au email
 
Attachments

  • GAZETI LA MWANZO # 12.pdf
    6.6 MB · Views: 520
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom