malisoka
JF-Expert Member
- Jul 8, 2012
- 1,860
- 2,637
Jana nimesoma magazeti ya kikristo ya Jibu la Maisha, Nyakati na Msema kweli ya wiki.
Ukiancha habari za mafundisho na matangazo. zele habari mbalimbali ambazo sio za dhehebu hilo karibia zinafanana.
Je hawa wahariri ni mtu mmoja au waandishi wa habari ni hao hao?
Kwa mfano kuna habari ya Israel inavyosaidia wakulima wa Afrika ipo katika magazeti karibu yote na hata picha na nk.
Nina shauri Mjiangalie.
Manaboa sana. fanyeni kazi msicopy na ku paste habari kutoka sehemu moja kwenda nyingine au mtuambie tununue gazeti moja tu.
Inaumiza kama unanunua magazeti 3 ya madhehebu 3 tofauti TAG, EAGT na karibu habari zinafanana.
Acheni Uvivu.