Marekani wadai Uchaguzi Mdogo wa Agosti 12, 2018, uligubikwa na matukio ya fujo na ukiukwaji wa kanuni za uchaguzi

Majuha yanabadilishana mawazo
kama mnajua tume mbovu kwa nini mnashiriki uchaguzi?watanzania si wajinga kama mnavyojaribu kujifariji kwa kutaka watu waamini hivyo.
Upinzani uliondoka na Slaa,waliobaki ni wasanii tu.
 
Unataka uniambie baba yenu mzazi akishindanishwa na baba wa jirani hamuwezi kumpa kura 100% baba yenu?
Nahisi matumizi ya dawa za 'maradhi ya kichwa' hutumii kama ulivyoelekezwa pale m'mbili au ile hosp. pale Ddm..
Au kama dawa zimeisha wahi nyingine haraka sana kwa ni wehu unakuandama.
 
Tuweke kumbukumbu sahii ya waasisi wa maovu yote haya for future use:
Idara Mhusika Mkuu
1. Tume ya uchaguzi-
2. Polisi
3. Uhamiaji
4.Wizara: a)
5.CCM
6.........
Mwasisi wa sera hii ya kuandaa maafa yajayo kwa taifa hili ni nani?
 
sehemu ambako ccm imeshinda ni kwamba wagombea wa upinzani hawakuwa na vigezo hivyo mgombea wa ccm alibaki peke yake bila mpinzani hivyo alipitishwa bila kupigiwa kura lakini ambako kulikuwa na upinzani hakuna aliyeshinda kwa 100%
 
1. Maaskofu wa Katoliki walitoa tamko wakaonekana hawako sawa
2. Maaskofu wa Kilutheri walitoa tamko wakaonekana hawako sawa
3. Viongozi wa upinzani wanaongea kila siku kuhusu hali ya kisiasa ilivyo hatarishi nchini wanaonekana walalamishi tu
4. Baadhi ya majaji wastaafu pia walitoa ushauri kuhusu nchi kurudi kwenye misingi ya kisheria wanaonekana hawana maana
5. Maaskofu wa makanisa mengine wameongea pia kuhusiana na hali isiyoridhisha kisiasa lakini wakaonekana sio raia.
6. Marekani wametoa tamko kwenye vyombo vya habari kuhusu hali ya ukiukwaji mkubwa wa sheria za nchi kwenye chaguzi.
SWALI: Inawezekana hawa wote wakawa hawako sawa ila sisi CCM ndio tupo sawa? Tujitathmini, taifa hili kwa sasa lina utulivu kwa sababu wananchi wake wamezoea ustaarabu, hizi chuki zinazoingizwa kwenye taifa letu hazikuwepo huko nyuma, hebu tuwakatae viongozi wanaolazimisha watanzania tuingie katika machafuko, wanatafuta kila mbinu ya kutuvuruga lakini tumenyamaza kimya, jinsi tunavyonyamaza kimya wanazidi kutuchokonoa ili na sisi tuingie kwenye machafuko, hebu tuwaangalie watu hawa kwa jicho la umakini sana, wana nia isiyo njema kwa nchi yetu.
 
Niko tayari kuwapokea na kuwapa hifadhi askari wa marekani watakapokuja kuanza kututwanga wakati wa operation ondoa ccm
 
Wanabodi, Kilichoandikwa na Magazeti ya Leo isipokuwa Gazeti langu nilipendalo la uhuru yamekiuka uzalendo unahubiriwa na CCM yetu mpya

Huu uzalendo mpya wameutoa wapi wa kuandika haya wakati tulishamaliza kuwatua mzigo na kuwapumzisha

Tumetua mzigo wa channels za TV lakini bado Magazeti yamepata nguvu mpya na kugoma kutuliwa mzigo huu
Screenshot_20180816-093135.jpg
Screenshot_20180816-093056.jpg
Screenshot_20180816-093106.jpg
Screenshot_20180816-093056.jpg
Screenshot_20180816-093135.jpg
Screenshot_20180816-093056.jpg
 
Rubbish....... Wenyewe rais wao kachaguliwa na urusi sasa wanapiga kelele za nini? wapuuzi hao. Limewaganda. dadeki. Magu wakazie hivyo hivyo wanaharam hao
Huo ushauri wako sidhani kama ataupokea, anawajua wamarekani vizuri sana.
 
Magufuli na vibaraka wenzake akina Kagame na Museveni ni waroho wa madaraka tu wanaogopa mfumo hu wa vyama vingi utawaumbua!
Magufuli ageuke nyuma angalie Rais Kenyata wa Kenya anafanya nini kwa ajili ya wananchi wake!
 
Back
Top Bottom