Magazeti ya Israel Yamekubali Wameshindwa Vita.

Wanao fikiria Israel wameshindwa wanajidanganya sana, hiyo ni hadaa tu kwa wapalestina pamoja na jumuiya ya mataifa yanayounga mkono harakati za wapalestina. The plan is to deceive who only deserve to be deceived. Nyuma ya hili suala kuna kitu kizito sana chenye ncha kali kimefichwa.



" Ninafanya kazi kwenye recruitment agency, mke wangu wa ndoa ametuma barua ya maombi ya kazi, kwenye CV yake anasema yupo single, inaniuma sana "
 
Yani wote wanao sema imeshindwa ni wajinga sio.

Israel has already lost this war. It has lost it because it is alienating influence leaders in U.S. mainstream opinion, the very supporters who have been so important in years gone by in insuring Israel's freedom to do whatever it wants whenever it wants.
These opinion leaders are saying, Enough already; we went through this four years ago and stuffed the Goldstone Report for you! So Israel's assault ultimately could represent a watershed in US policymaking.
What follows is a review of the conventional wisdom in the American discourse; it contains a surprising amount of anger toward Israel.
Israel has already lost this war | Mondoweiss
 
Fazaa, mbona sikuelewi? Nimesoma hiyo article lakin sijaona popote ambapo Israel amesema kashindwa. Pengine ulete hapa halafu utuonyeshe ambapo Israel kasema kashindwa. Sana sana Israel ana mpango wa kuendelea kujenga makazi maefu..

Ninachokiona ni watu wa Hamas ndio wamejaza ukurasa akili zao zisizoeleweka eti wameshinda na walichokishinda hawakielezi.

Ninaona pia wachangiaji kule wanashangaa ushindi huo ni wa kitu gani?

Israel kukubali kushusha silaha chini ni kushindwa? Siyo hao waarabu ndio waliokuwa wakitembelea magoti wakiomba usuluhishi kusudi Israel ashawishiwe kuweka silaha chini? Au kwa tafsiri yenu ushindi ni nini?
 
Tabby dunai nzima inajua Israel ndo kabembeleza vita isimamishwe.

Labda hi video itakuonyesha nani kashinda.



 
Last edited by a moderator:
Jamaa anaendeleza ubishi ule ule usiokuwa na tija. Hajail wala haoni kama kasababisha mauaji ya wapalestina wengi wasiokuwa na hatia kwa matendo yake ya unyang'anyi na uchokozi. Eti ana refer Yasser Arafat. Yasser Arafat wa juzi hapa wakati Israel amekuwepo miaka na miaka?

Kwa ujumla sijaona hata unachosema ushindi. Nilitegemea kutaleta kielelezo cha Israel and declare kwamba kashindwa!. Sasa moto utakaotokea hapa mtauona. Lazima waarabu warudi kwao jangwani ama wakubali ustaarabu wa kuishi na binadamu wengine kama watu.

Na isitoshe wewe unapoteza watu mamia, mwenzako watano, halafu bila haya unasema umeshinda vita. Jamani, kweli dunia hii ni kubwa na akili ni nywele kila mtu anazake.
 
kweli wameshindwa. tayari palestina wameshatambuliwa kimataifa. na sasa bendera yao inapepea umoja wa mataifa. mia
 
Israel waliweza kuzipiga nchi karibu tano za kiarabu miaka ya 1967 kwa mda wa siku sita.
Leo wanapigana na Hamas kikundi kinachotumia silaha hafifu sana,na bado inashindwa kukipiga na kuweza kuiteka gaza.inaonyesha ni namna gani mambo yamebadilika.miaka kumi ijayo watu wataongea mengine kabisa.
 
Sidhani kama unaelewa kilichoandikwa na sidhani kama unaelewa siasa za Palestine baina ya Gaza (Hamas) na West Bank (Fatah).

Mpenda mema kwa Palestine anataka kuona Hamas na Fatah wakiwa kitu kimoja, na kwa juhudi za Abas, at least Hamas watambue umuhimu wake considering what just happened in the UN.

Lakini mwandishi anasema "Following Gaza 'victory' Hamas sets sights in the West Bank". Huyu anaandika propaganda za divide and rule na wewe unashabikia.
 
Matunda ya Obama. Huyu rais wa Marekani kiapo chake ni kwamungu allah na hivyo hawezi kusimama katika nia na mpango wa Yahwe. Hata hivyo kwa kusudi hili ameinuliwa ili maandiko yapate kutimia. Ninaamini ni kitu kisichowezekana kuugawa Yerusalemu mji wa mfalme mkuu. Hakika haitakuwa mji mmoja uwe ni makao makuu ya allah na Yahwe, jambo hili litaharakisha ile vita kuu ya Harmageddon. Haikutabiriwa isitokee bali kwa wakati muafaka itatimizwa.
YERUSALEMU MOYO WANGU UNADUNDADUNDA KWA HABARI ZAKO NILIZOZISIKIA. OOH YERUSALEMU YERUSALEMU HATA LINI UTAKAPOSEMA AMEBARIKIWA YEYE AJAE KWA JINA LA BWANA? ANGALIA SASA ZAKARIA SURA YA 12,13 INAITA NA MAOMBOLEZO MAKUU YA MAJUTO KWA MASIHI YAMEBISHA HODI. HAKIKA SASA ITAKUWA KAMA YA SIKU ZA HADDADRAMON KATIKA MAGIGO, MAANA YAKOBO AMEJILIWA ILI AOKOLEWE KAMA TAIFA.
.
 
Hamas and the General Palestinian populace often say to the Israelis " you love life and we love death"
"if we kill you we win, If you kill us we win"

The Palestinians in Gaze rejoice when anybody on their side is killed and becomes a 'shahid' that goes to heaven.
They rejoice when one Jew is killed even if it means a thousand palestinians die to achieve this.
The standard currency of exchange of Live Palestinians for one Israeli [dead or alive] over the years has been something like a thousand to one.

The corpse of a baby is treasured for its propaganda value as it is brandished before as many cameras as possible.

That been the case naamini Palestinian wameshinda. They have been defeated decisively yet wanadai wameshinda. Hiyo ndio akili ya Waarabu.
 
Kwa hiyo waarabu wataridhika kukaa tu kwa kukosa sababu ya kupigana? Lazima hapa wataitafuta sababu nyingine, hata kama itakuwa ni mapigano baina yao, ili mradi wafe waweze kupata thawabu!
 
Israel ikishindwa huo ndo mwisho wa dunia.
Na nani anaye sema itakuwa mwanzo wa dunia, ushindi unapatikana siku zote mwishoni...si mwanzoni.... na hapo ndo siku mtajua Israel ndo taifa lilo la aniwa na mungu, sio kama wanavyo dai wao eti God's choosen people :biggrin1:
 
Israel waliweza kuzipiga nchi karibu tano za kiarabu miaka ya 1967 kwa mda wa siku sita.
Leo wanapigana na Hamas kikundi kinachotumia silaha hafifu sana,na bado inashindwa kukipiga na kuweza kuiteka gaza.inaonyesha ni namna gani mambo yamebadilika.miaka kumi ijayo watu wataongea mengine kabisa.
Theoretically uko sahihi lakini Israel ina uwezo wa kuiteka Gaza katika masaa machache lakini umwagaji damu utakuwa mkubwa kiasi amabacho hata hao wanao wa support wanaweza kupambana na wapiga kura wao.
 
Jamaa anaendeleza ubishi ule ule usiokuwa na tija. Hajail wala haoni kama kasababisha mauaji ya wapalestina wengi wasiokuwa na hatia kwa matendo yake ya unyang'anyi na uchokozi. Eti ana refer Yasser Arafat. Yasser Arafat wa juzi hapa wakati Israel amekuwepo miaka na miaka?

Kwa ujumla sijaona hata unachosema ushindi. Nilitegemea kutaleta kielelezo cha Israel and declare kwamba kashindwa!. Sasa moto utakaotokea hapa mtauona. Lazima waarabu warudi kwao jangwani ama wakubali ustaarabu wa kuishi na binadamu wengine kama watu.

Na isitoshe wewe unapoteza watu mamia, mwenzako watano, halafu bila haya unasema umeshinda vita. Jamani, kweli dunia hii ni kubwa na akili ni nywele kila mtu anazake.

MI SISHANGAI ALIYESHINDWA KUSEMA KASHINDA....... ni staili ambayo ni maarufu sana sasa kwani CHADEMA inasema ilishinda chaguzi zilizopita kwa vigezo kama hivi
 
Back
Top Bottom