Magazeti Tanzania yanatuangusha kumbukumbu za historia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Magazeti Tanzania yanatuangusha kumbukumbu za historia

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by SubiriJibu, Jan 23, 2012.

 1. S

  SubiriJibu JF-Expert Member

  #1
  Jan 23, 2012
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 1,124
  Likes Received: 776
  Trophy Points: 280
  Wanajamvi,

  Magazeti kadhaa kama MWANANCHI, NIPASHE, na mengine kadhaa ya column ya kumbukumbu za kihistoria.
  Column hiyo huitwa LEO KATIKA HISTORIA.Humo utakuta matukio kadhaa yaliyotokea tarehe kama hiyo miaka mingi nyuma.

  Ungetegemea magazeti haya yaandike matukio mengi ya nchi yetu.Lakini uchunguzi wangu nimegundua kwamba asilimia zaidi ya 90 ni kumbukumbu za nje ya Tanzania, tena nje ya Afrika!

  Tunapenda kulaumu kwamba historia ilipindishwa na kizazi kilichopita wakati na sisi tunaendeleza yaleyale.

  Ni nini kinashindikana kupata data ili kujua kwamba mwaka fulani tukio fulani lilitokea na hivyo tusahihishe makosa ya kihistoria?

  Kazi kwenye waandishi na wamiliki wa magazeti Tanzania
   
 2. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #2
  Jan 23, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,381
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Sisi miaka ya nyuma tulikuwa hatuweki kumbukumbku tumeanza miaka ya 1960. Kabla ya hapo kumbukumbu zilizopo ni za TAA na TANU. Unawaonea bure hao wa magazeti!
   
 3. S

  SubiriJibu JF-Expert Member

  #3
  Jan 23, 2012
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 1,124
  Likes Received: 776
  Trophy Points: 280
  Mkuu,

  kumbukumbu ni pampja na yale matukio yalihabarishwa kwenye magazeti ambayo wao wana archive yake.

  Kwa mfanno, kutaka kujua Nyerere alitembea toka Butiama hadi mwanza kwa mguu, je hii nayo inahitaji ujuzi wowote.

  Ni wao wako kwenye hizo archive wanaweza kuisaidia jamii kuwakumbusha hayo.
   
 4. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #4
  Jan 23, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,381
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Sasa mkuu hizo si za nyerere si wanazo chache labda huwa zinawaishia..lol :lol:
   
Loading...