Magazeti mengine ni hovyo, eti ''wanawake wang'ara'' shule ya msingi ni wanawake?

CHA The GREAT

JF-Expert Member
Nov 11, 2010
651
853
Hivi kweli shule za msingi kuna wanawake au watoto wa kike.

Je, nikisema magazeti mengine ni ya hovyo ntakuwa nakosea.

Screenshot-2017-10-21 Yasome hapa magazeti ya leo Jumamosi Oktoba 21, 2017.png
 
Kimfaacho Mtu chake, Ukiona huelewi kuna watu wanalihusudu hawezi kulala hadi alisome.
 
Back
Top Bottom