Magazeti; Kichwa cha habari! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Magazeti; Kichwa cha habari!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mbu, Oct 17, 2007.

 1. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2007
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...Inauma, inaudhi na inaghadhibisha unapoamka asubuhi na kukumbana na kichwa cha habari BROAD LETTERS tena FRONT PAGE ya gazeti;

  Africans are less intelligent than Westerners, says DNA pioneer

  source; http://news.independent.co.uk/sci_tech/article3067222.ece

  ...are these guys; (the article author and The Independent) doing this intentially to provoke BLACK AFRICANS, while sparing 'their faces' from the wrath of BLACK CARRIBEANS, and BLACK AMERICANS?

  ...ubaguzi ni ubaguzi tu, talking about DNA ya black africans eti ndio sababu ya umasikini na ujinga wa mwafrika mimi sikubaliani nayo!

  ...mbaya zaidi , kwanini ipewe FRONT PAGE NEWS kwa heading hiyo, iwapo gazeti hili halina na mwelekeo wa Kibaguzi???
   
 2. Mushobozi

  Mushobozi JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2007
  Joined: Aug 20, 2007
  Messages: 542
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  huu ni ubaguzi, ila sisi pia ndio tunaojinyenyekesha kwenye huo ubaguzi, tukiwakilishwa na ombaomba wetu Kikwete.
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2017
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,289
  Likes Received: 22,054
  Trophy Points: 280
  Tunadhalilishwa
   
Loading...