Magari yote hukaguliwa na Polisi!

Tanzania Mpya

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
253
144
Suala hili linashangaza, Magari mengi yanayotembea barabarani ni mabovu hasa daladala lakini Polisi wanajisifia kwamba wabakagua magari yote na kuyapa stika ya ubora! Hivi ni kigezo kipi wanatumia ktk ukaguzi wao?
 
Back
Top Bottom