Magari yanayosomba saruji ni lazima yawe mabovu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Magari yanayosomba saruji ni lazima yawe mabovu?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Vakwavwe, Jul 15, 2009.

 1. V

  Vakwavwe JF-Expert Member

  #1
  Jul 15, 2009
  Joined: May 16, 2009
  Messages: 507
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kwa muda mrefu nimekuwa nasikitishwa sana na uchakavu wa magari yanayosambaza saruji ya twiga jijini. magari mengi katika hayo yamekuwa yakishindwa kupanda kimlima cha njiapanda ya kawe kutokea mbezi na kurudi nyuma na kuhatarisha maisha ya watumiaji wengine a barabara...leo asubuhi moja limeanguka sehemu tambarare na kabla ya kuanguka halikuwa na vioo kwa dereva wala sightmirror....je ni kweli ajali kama hizi hazizuiliki?kwa nini serikali inayaacha yapite barabarani?sitaki kuamini kuwa nayo yanamilikiwa na mafisadi.....!naamini kuna wahusika humu ndani tunafanyaje jamani?
   
Loading...