emmanuel80
New Member
- Jun 17, 2010
- 1
- 0
yapo Mikocheni Opp. Spoppers Plaza.
yapo Mikocheni Opp. Spoppers Plaza.
Toa details za kueleweka bana, utatuvutaje sie wa Kibaha kuja huko pasipo kuelewa hayo ni magari gani, hizo bei chee ni zipi?..na nani tuwasiliane nae!!
Asante kwa ujumbe mzuri japo uko jumla mno. Waweza kueleze kidogo zaidi ili tujue ni makubwa au madogo, ni ya abiria au mizigo bei chee ni bei gani hiyo nakadhalika.yapo Mikocheni Opp. Spoppers Plaza.
yapo Mikocheni Opp. Spoppers Plaza.