Magari yagongana Ruvu na kuwaka moto, foleni ni kubwa Morogoro road

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
Kuna foleni kubwa sana katika barabara ya morogoro kuna ajali ilitokea usiku wa saa7 MBALA malori yaligongana na kuwaka moto katikati ya barabara ...foleni nikubwa mnoo FOLENI YA KM ZAIDI YA 3 MABASI NAWASHAURI PITIENI BAGAMOYO

Gari mbili za mizigo, moja lenye namba za usajili scania T182 DCM lililokuwa linatokea Iringa kwenda Dar es salaam zimegongana uso kwa uso eneo la Ruvu na kuwaka moto.
 
Shida ni foleni au kusikitika endapo kuna Vifo vimetokea?
 
Back
Top Bottom