Magari ya wagonjwa kubeba maiti


Lutala

Lutala

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2010
Messages
845
Likes
21
Points
35
Lutala

Lutala

JF-Expert Member
Joined Jun 17, 2010
845 21 35
Great thinkers, nimekuwa najiuliza kwa muda mrefu bila kupata jibu. Hivi ni kwanini wakati mwingine magari ya wagonjwa yanabeba maiti. Naomba nitofautishe kuwa kama mgonjwa amefia kwenye gari hilo hakuna shida. Tatizo ni kuwa mtu ahafariki halafu gari la wagonjwa linakwenda kubeba mwili wa marehemu hivi inatokana na ufinyu wa kufikiria au nini? Naombeni michango yenu grat thinkers
 

Forum statistics

Threads 1,237,586
Members 475,561
Posts 29,294,023