Magari ya Serikali kuonekana kwenye kumbi za starehe nyakati za Usiku | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Magari ya Serikali kuonekana kwenye kumbi za starehe nyakati za Usiku

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Jan 18, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jan 18, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,464
  Likes Received: 5,707
  Trophy Points: 280
  Jamani napishana na gari moja limepaki na bosi wake amekunywaa chakali utasema amekata tamaa na ndoa yake na wala haijulikani ataenda saa ngapi kwake, gari aina ya Lancruiser ipo hapa Executive bar barabara ya kwenda Kawe.

  Je, huu ndio utawala bora mpaka usiku jamani?

  Embu tuheshimu haya magari jamani,Sinza hawaogopi kuingia nayo lodge wanajifanya kufunika,jamani jamani.

  Embu tuheshimu magari mnayonunuliwa na kodi zetu jamani kama ujaonekana mchana uonekani bar.


   
 2. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #2
  Jan 19, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Magari ni mali ya serikali, kama zilivyo assets zingine. Sielewi ni kwa nini mali za serikali ziwe nje ya maeneo ya kazi, muda ambao si wa kazi. Watumishi wote wa serikali wanayo magari yao binafsi, kisha wanapewa msamaha wa kodi wakinunua gari hayo.

  Sioni sababu yoyote kwa nini gari ya serikali litoke Mbagala anakoishi dereva linamfuata bosi wake anayeishi Mbunju, kumpeleka ofisi hazina au elimu. Magari ya serikali ni lazima yawe kwenye maengesho ya wizara na idara zake kuanzia saa 9 alasiri hadi kesho yake saa mbili ofisi zinapofunguliwa. Watumishi wote watumie usafiri wao binafsi vinginevyo watumie daladala.

  Endapo serikali itaweza kuzuia matumizi mabovu ya magari, pesa inakayo okolewa itasomesha wanafunzi wa vyuo vikuu bila kulipa senti tano.
   
 3. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #3
  Jan 19, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Dah mkuu ungelipiga angalau na kipicha kidogo ili wahusika walifanyie kazi.
   
 4. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #4
  Jan 19, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  kweli watanzania tunaamka sasa,asante sana pdiddy kwa kuhoji hilo swala na ikiwezekana siku nyingine lipige picha.Haya magari licha ya kununuliwa na walipa kodi mpaka mafuta wanayotumia yanalipiwa kwa kodi yetu kwahio si vizuri mtu kutumia hili gari katika mambo yake binafsi alafu bili zote tunatupiwa sisi walipa kodi.
   
 5. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #5
  Apr 5, 2013
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Wanajamvi katka pita pita yang usiku huu maeneo flan jijin Arusha nimekuta gari ya serikali imepaki bar,sasa cha kujiuliza hivi tuna serikali kweli?

  Sasa imefikia mahali hata hakuna kiongozi anayeweza kukemea hili?ee Mungu iokee Tz,nani wa kutunusuru?kila mtu sahivi hana imani na serikali hii,gari ya serikali sahizi bar!!

  baada ya kuikuta nikasema niwashirikishe wana jamvi,alimanusura ning'olewe kucha, nilipiga picha mlinzi kaniona,ebaana asikuambie mtu amenifukuza nikasema leo nauwawa,niko mahali nimejificha nitawajuza tukio zima nikitoka hapa.

  [​IMG]
   
 6. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #6
  Apr 5, 2013
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,784
  Likes Received: 2,394
  Trophy Points: 280
  Weka picha mkuu,pia kuna lile la polisi lilibeba wana kwaya coco beach hatujaambiwa mpaka leo kama lilikodishwa au
   
 7. Ayayoru

  Ayayoru Senior Member

  #7
  Apr 5, 2013
  Joined: Feb 17, 2009
  Messages: 113
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Weka picha mkuu!
   
 8. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #8
  Apr 5, 2013
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Picha hiyo mkuu
   
 9. Ayayoru

  Ayayoru Senior Member

  #9
  Apr 5, 2013
  Joined: Feb 17, 2009
  Messages: 113
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hii plate number mbona kama imefungwa kwa mipira tu! Hilo gari ni la serikali kuu! mwenye kufahamu atujuze ni ya wizara au idara gani ya serikali!
   
 10. L

  Lufilyo Member

  #10
  Apr 5, 2013
  Joined: Dec 2, 2012
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hahaaaaaa sikuhizi hakuna wakukemea tena maana aliyekuwa anakemea sikuhizi na yeye ni wakukemewa kwahiyo imekula kwetu labda kama tutafanya mabadiliko2015 tupate watu wengine wacha Mungu na wenye huruma na kodi za walalahoi.pole mleta mada kwa kunusurika ila siku nyingine uwe mwangalifu zaidi hawashindwi hao kukukata masikio
   
 11. MpangoA

  MpangoA JF-Expert Member

  #11
  Apr 5, 2013
  Joined: Jul 27, 2012
  Messages: 363
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Sioni tatizo kwani mtu amepewa gari la ofisi kwa matumizi yake.

  Mbona hata private magari ya kazini wakubwa wanatumia kwa shughuli zao? Ulitaka akienda bar aache gari nyumbani akodi bajaji?

  Tuwe wa kweli, hata wewe ukipewa gari la ofisi utafanya hayo hayo. La muhimu, asitumie gari hilo kwa uhalifu na pia asilipeleke sehemu ambazo si salama ili kulinda hadhi ya ofisi. Kama gari liko kwenye baa zenye hadhi sioni tatizo.
   
 12. saragossa

  saragossa JF-Expert Member

  #12
  Apr 5, 2013
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 2,141
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Gari za ma judge hizo. Wakiwa hawapo zinapigwa namba za stk kwa mpira. Huyo atakuwa dreva anapiga ulabu. Uliza gari za pccb madereva wanavokula nazo bata. Hii bongo ya jk bana.
   
 13. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #13
  Apr 5, 2013
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
 14. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #14
  Apr 5, 2013
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  bora ungekaa kimya lakini sio kujibu kama mtoto wa chekechea.
  kuna sheria na taratibu za matumizi ya magari ya serikali.
  kuna muda umepangwa wa kuyatumia
  kwa mawazo yako nchi haitafika popote bila kuwa na kiongozi dikteta asieogopa mtu
   
 15. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #15
  Apr 5, 2013
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Ni pub mkuu inaitwa TWITER ipo maeneo ya sakina
   
 16. T

  TumainiEl JF-Expert Member

  #16
  Apr 5, 2013
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 2,891
  Likes Received: 1,649
  Trophy Points: 280
  Cku hz ni fashen yanapaki gest,bar, garage bubu hakuna anae jali mlipakodi siyupo chao nin? Chukua chako mapema! Baa
   
 17. l

  lufungulo k JF-Expert Member

  #17
  Apr 5, 2013
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 1,267
  Likes Received: 451
  Trophy Points: 180
  bado ushahidi haujitoshelezi kitu gani ? kinachothibitisha hapo gari lilipo ni bar?
   
 18. sabasita

  sabasita JF-Expert Member

  #18
  Apr 5, 2013
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  labda cdm wanashawishi madereva si unajua ccm ndo wazalendo wanaoipenda nchii wengineo ni watz class d
   
 19. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #19
  Apr 5, 2013
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,125
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Haijitoshelezi, tutajuaje kuwa ilipaki "bar"? Secondly, who knows labda walikuwa doria (kama ni ya polisi) au picha imechukuliwa gari likiwa ndani ya maegesho ya serikali kule bomani?.Twendeni na ushahidi unaojitosheleza vinginevyo hayo tutayaita majungu!!!!
   
 20. tofali

  tofali JF-Expert Member

  #20
  Apr 5, 2013
  Joined: Mar 27, 2013
  Messages: 3,910
  Likes Received: 1,997
  Trophy Points: 280
  Watu ni wabishiii....mshaambiwa kapiga kiwizi wizi nyie mnalazimisha ushahidi
   
Loading...