Elections 2010 Magari ya polisi

kachumbari

Senior Member
Nov 1, 2010
125
8
INASIKITISHA KUONA MAGARI NA PIKIPIKI ZA POLISI YANAYO SINDIKIZA VIONGOZI WA NCHI MABOVU ILE MBAYA,HIVI HATA HUYO KIONGOZI ANAESINDIKIZWA HAONI KUWA HANA USALAMA WOWOTE AWAPO KATIKA MSAFARA? USALAMA UNA MAANA GANI BASI? Mna sanii mpaka usalama wenu wenyewe? Doh....! kweli hii TZ.
 
Sikitikia shule duni, hospitali zisizo na dawa watoto kukosa mikopo chuo kikuu, barabara mbovu, reli isiyofanya kazi etc kuliko kufikiria pikipiki ya kusindikiza mtu mmoja.

Amka, Pikipiki za viongozi haziwezi letamaendeleo, shule barabara na afya vinaweza aghalabu kuleta maendeleo.
 
Kwanza hakuna anaetaka kuwaua wale, hata wakitembelea BAJAJI!
Tunachotaka sisi ni kuwatoa madarakani coming2015!
Hiyo misafara mirefu ni utumizi mbaya wa fedha bila sababu!
 
Unategemea kuona nini wakati IGP ameteuliwa na mkubwa? Mabadiliko ya nchi hii ni ngumu kutokea kutokana mfumo wa utawala uliopo.

Lakini nawaambieni Mabadiliko tunayoyataka yatakuja wananchi watakapopata dhiki kuu. kwa sasa watu wanashiba hawaelewi, hata sukari ikipandishwa bei mpaka 10,000 kwa kilo moja bado watanunua, na wataendelea kuwachagua ccm.
 
Kama matundu matatu ya vyoo yanajengwa kwa pesa yakujenga ghorofa 6 na watoto wakakalia mdawati mazuri utashanga pikipiki?
 
Safari inaendelea
waache watumie kodi zetu lakini zitawatokea puani siku ikifika
 
Kwanza hakuna anaetaka kuwaua wale, hata wakitembelea BAJAJI!
Tunachotaka sisi ni kuwatoa madarakani coming2015!
Hiyo misafara mirefu ni utumizi mbaya wa fedha bila sababu!

Ndo maana hata DR Slaa kachomoa na kukacha anajua matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi zitazidi tumika. Ametambua hilo. Ilikuwa inatosha TBC_CCM itoe Redioni au TV zote na siyo kujikusanya kwenye kumbi.? je kama mabomu yameegeshwa humo? yaani hata miakili yao haifanyi kazi. Sherehe mnavyozipenda jamani yaani hata wizi huu wa kura mnaweka sherehe?? kujitangazia ushindi?
 
Kazi kwelikweli! kama ni viongozi wetu tunaowapenda na tukawachagua ulinzi kama tupo Irak wa nini? sioni kama kuna raha ya kuwa kiongozi kama hali ndo hiyo
 
with all your kelele....... inabidi msubiri next five years..poleni sana ...ninyi bado ni wenzetu...watanzania safi kabisa...mliosimama siku ya kupiga kura kumpa jk ushindi......tunawashukuru......NEXT FIVE YEARS....NEXT FIVE YEARS.......MTAZAA TU NDO MSHABEBA MIMBA .....YA KWENU HIYO.......poleni sana
 
Back
Top Bottom