Magari ya ofisi yatumike kazi za ofisini tu jamani;tuheshimu kazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Magari ya ofisi yatumike kazi za ofisini tu jamani;tuheshimu kazi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Nov 27, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Nov 27, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,613
  Likes Received: 5,782
  Trophy Points: 280
  Wanandugu kuna wakati sasa inabidi watu tuanze kusaidiana kwa kuelimishana kwenye JF.
  kuna hili swala la wakubwa kutumia magari ya kazini kwa shuguli binafsi...na hivyo kuliingiziza shirika/kampuni hasara..nakumbuka mzee wetu mmoja marehemu alikuwa mkuu wa polisi dar es salaam yeye alikuwa anatumia kubebea nyasi za ngombe na maji gari za polisi...thanx magufuli kwa kutushtua hili...ila sasa kuna hali ambayo inaitaji mabosi kujua magari ya kazini ni kazi za ofisini......leo hii unashngaa ati gari za su /stk ziko kwenye bar usiku wa manane...nakumbuka siku moja nikiwa bar moja pale sinza miller...gari ya waziri wa ulinzi ikiwa ilikuwa na vibao vyake kama kawaida nilipotoka ****** nikakuta jamaa anafungua kibao anaweka STK...DUUUUH nikasema si mchezo kwa mtaji huu hata namba za T825 VVU atakuwa nazo..anyway wakati mwingine magari ya ofisini yanaenda kubebea pumba za mabosi wao kupelekea wanyama wao...y????
  halafu watu wanakosa mishahara watu wanaanza kupiga makelele...embu tuwe wastaarabu jamani...haswa wale wanaosimamia magari wawe makini msiaribu dhamana mnayopewa jamani....
  heshimuni kazi na nyie madereva msitumie magari yenu vibaya muda wa kwenda kuchukua mabosi wenu mnakwenda kumchukua vimada vyenu mtapoteza kazi hao wanawaheshimu mkiwa kwenye AC ukitoka hapo biashara inaisha....kila la kheri
  ONYO
  ""USIFANYE MAPENZI KWENYE MAGARI YA KAZINI""
   
Loading...