Cannabis
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 8,937
- 25,279
Likigoma kuwaka spea zinachukua hata wiki 3 kufika, na hapo ni kama una hela mfukoni 🤣🤸🐒
Likigoma kuwaka spea zinachukua hata wiki 3 kufika, na hapo ni kama una hela mfukoni 🤣🤸🐒
Hao ni mafundi Kanjanja. Mifumo ya gari yote iko sawa tofsuti ni design ya vifaa vyake. Mchele ni mmoja, mapishi tu ndo tofauti.Mjerumani anajua sana Mafundi wenyewe wanaziogopa ukiwapelekea hz gari zina Mafundi maalum
Wewe kumbe hujui Magari gari za Kijerumani zina mifumo tofauti ktk ku arrange engine parts hufungui hovyo hovyo unaweza ukaambiwa ufungue water pump ikakushinda kwa hyo lazma uwe umezizoea gari za Kijerumani ndio utawezaHao ni mafundi Kanjanja. Mifumo ya gari yote iko sawa tofsuti ni design ya vifaa vyake. Mchele ni mmoja, mapishi tu ndo tofauti.
Wanasema ist ni bingwa wa misele...Kama huyu jamaa Yangu amenunua IST mwezi wa march mwaka huu akampa wife wake na mwezi huu Kavuta huyu mnyama Kwaajili yake mwenyewe lkn mara nyingi anatumia IST Kwaajili Mishe za mjini....Acha tuendelee kutumia Toyota maana huyu ni mkombozi wetu
Ni kweli mkuu, hata bei zikifanana, wa tz wengi watakwambia gari ya mkoloni gharama za utunzaji hawawezi, lakini ni mazoea tu...Unaweza kushangaa nikikwambia kwenye gari mpya tofauti zake za bei ni ndogo sana.
Ukweli ni kwamba mafundi wetu wengi ni makajanja hawawezi kusoma kitu kipya wanaenda kwa mazoea, kuna gari nilikuwa namsaidia boss wangu mmoja ilikuwa Benz e class (W212) kubadilisha parking sensor na light sensor, na kuna fuse zilikuwa mbovu mbele na nyuma (kwenye buti) alifanya diagnosis CFAO motors bill ilikuwa almost 3.5m akaamua kuakaagiza spare kutoka ebay ambazo zilikuwa much cheaper zikaja akamtafuta fundi wenyewe wanasema ndio bingwa wa gari za mzungu, kashindwa kujua hata aanzie wapi kuchomoa hizo fuse...ilibidi wenyewe tuanze kuingia google na yotube kila kitu kipo clear, kazi tulifanya wenyewe sana sana mwenye gari alimtoa tu hela ya maji kwa sababu tulitumia toolbox yake...gari za mzungu ni rahisi zaidi kufanya marekebisho mwenyewe kuliko utafute mafundi kwa sababu mafundi wengi waliopo mtaani wana ujanja wa kuunga ungaWewe kumbe hujui Magari gari za Kijerumani zina mifumo tofauti ktk ku arrange engine parts hufungui hovyo hovyo unaweza ukaambiwa ufungue water pump ikakushinda kwa hyo lazma uwe umezizoea gari za Kijerumani ndio utaweza
Sawa nimekuelewa kitu ambacho mlikosea ni kwamba hamkujua kwamba kuna Garege maalum za German cars na ziko chache nyie mmetafuta mafundi hawa wa Toyota ndio maana walishindwa kutatua tatizo lenu na ndio maana nakuambia Gari za mzungu zina Mafundi wake na Garage zake maalumUkweli ni kwamba mafundi wetu wengi ni makajanja hawawezi kusoma kitu kipya wanaenda kwa mazoea, kuna gari nilikuwa namsaidia boss wangu mmoja ilikuwa Benz e class (W212) kubadilisha parking sensor na light sensor, na kuna fuse zilikuwa mbovu mbele na nyuma (kwenye buti) alifanya diagnosis CFAO motors bill ilikuwa almost 3.5m akaamua kuakaagiza spare kutoka ebay ambazo zilikuwa much cheaper zikaja akamtafuta fundi wenyewe wanasema ndio bingwa wa gari za mzungu, kashindwa kujua hata aanzie wapi kuchomoa hizo fuse...ilibidi wenyewe tuanze kuingia google na yotube kila kitu kipo clear, kazi tulifanya wenyewe sana sana mwenye gari alimtoa tu hela ya maji kwa sababu tulitumia toolbox yake...gari za mzungu ni rahisi zaidi kufanya marekebisho mwenyewe kuliko utafute mafundi kwa sababu mafundi wengi waliopo mtaani wana ujanja wa kuunga unga
Mafundi wengi mtaani wamezoea Toyota Tu...Ukweli ni kwamba mafundi wetu wengi ni makajanja hawawezi kusoma kitu kipya wanaenda kwa mazoea, kuna gari nilikuwa namsaidia boss wangu mmoja ilikuwa Benz e class (W212) kubadilisha parking sensor na light sensor, na kuna fuse zilikuwa mbovu mbele na nyuma (kwenye buti) alifanya diagnosis CFAO motors bill ilikuwa almost 3.5m akaamua kuakaagiza spare kutoka ebay ambazo zilikuwa much cheaper zikaja akamtafuta fundi wenyewe wanasema ndio bingwa wa gari za mzungu, kashindwa kujua hata aanzie wapi kuchomoa hizo fuse...ilibidi wenyewe tuanze kuingia google na yotube kila kitu kipo clear, kazi tulifanya wenyewe sana sana mwenye gari alimtoa tu hela ya maji kwa sababu tulitumia toolbox yake...gari za mzungu ni rahisi zaidi kufanya marekebisho mwenyewe kuliko utafute mafundi kwa sababu mafundi wengi waliopo mtaani wana ujanja wa kuunga unga
Mkuu watarudi kwenye PassoAisee ni kukosa pesa Tu Ila hawa wenzetu wenye Magari ya mzungu wanafeel tofauti na sidhani Kama mtu ambaye anamiliki hizi gari anaweza kurudi Kwenye Toyota
Nimeshangaa kuona jinsi Magari ya mzungu yakivyokuwa na utofauti na Magari yetu ya kijapan,Jana nilikuwa nasukuma ndinga BMW 320i kutoka banana Hadi Kariakoo hakika kuna utofauti Mkubwa Sana na rumion Yangu Hadi nilikuwa siamini jinsi hizi gari zilivyobarikiwa kuna nguvu, stability, comfortability na kuchanganya fasta.
aisee mnaomiliki hizi mashine mnaishi katika sayari yenu kabisa hapa TANZANIA,Magari ya kijapan nimeendesha mengi Tu Ila hizi ndinga za wazungu ziko level nyingine pia haziwezi kufanana na wajapan wetu hata nusu.
Nimejaribu kuweka picha ya BMW 320i ya 2006 na Toyota harrier ya 2006 hasa Kwenye eneo la Vyuma vinavyoshikilia tairi......
angalia picha hii ya mwisho ya Toyota harrier jinsi ilivyokuwa chini
View attachment 1864469
View attachment 1864470
View attachment 1864482
Manufacturer | Failure Rate | |
1 | Honda | 1 in 344 |
2 | Toyota | 1 in 171 |
3 | Mercedes-Benz | 1 in 119 |
4 | Volvo | 1 in 111 |
5 | Jaguar | 1 in 103 |
6 | Lexus | 1 in 101 |
7 | Fiat | 1 in 85 |
8 | Ford | 1 in 80 |
9 | Nissan | 1 in 76 |
10 | Land Rover | 1 in 72 |
Mafundi wengi mtaani wamezoea Toyota Tu...
Unakutana na fundi amekaa miaka miwili hajawahi kutengeneza Magari ya mzungu wala Aina nyingine za kijapan
Manufacturer | Failure Rate | |
1 | MG Rover | 1 in 13 |
2 | Audi | 1 in 27 |
3 | MINI | 1 in 40 |
4 | Saab | 1 in 40 |
5 | Vauxhall | 1 in 41 |
6 | Peugeot | 1 in 44 |
7 | BMW | 1 in 45 |
8 | Renault | 1 in 46 |
9 | Volkswagen | 1 in 52 |
10 | Mitsubishi | 1 in 59 |
Kweli kama kuna Toyota Yaris ina speed 200 ni vitz ya ulayaJapanese cars ni durable na practical cars(engineering simplicity) ndo mana kwa watu wa kawaida zinauza zaidi popote pale duniani hata US zinauza sanaaaa kuliko any German car.
Japan ina reputation kubwa sana ya quality kweny kila kitu, ni umaskini wako tu unakusumbua. Kama unataka ride quality ya maana, sophistication na luxury, hands down European zitakidhi kiu yako……… lakini je ushawahi tia maguu kwenye Lexus au Infiniti model yoyote? Hata hapa mjini ni chache sana kuziona, trust me zinatick all boxes na bei ni mkasi zaidi hata kma ni used.
Mkuu chukua Kinywaji chochote hapo ulipo, nitumie bill PM.....umemaliza yote! Sio mafundi magari tu watanzania wengi hatupendi kuhangaisha akili zetu hata kwa mambo madogo tu!Ukweli ni kwamba mafundi wetu wengi ni makajanja hawawezi kusoma kitu kipya wanaenda kwa mazoea, kuna gari nilikuwa namsaidia boss wangu mmoja ilikuwa Benz e class (W212) kubadilisha parking sensor na light sensor, na kuna fuse zilikuwa mbovu mbele na nyuma (kwenye buti) alifanya diagnosis CFAO motors bill ilikuwa almost 3.5m akaamua kuakaagiza spare kutoka ebay ambazo zilikuwa much cheaper zikaja akamtafuta fundi wenyewe wanasema ndio bingwa wa gari za mzungu, kashindwa kujua hata aanzie wapi kuchomoa hizo fuse...ilibidi wenyewe tuanze kuingia google na yotube kila kitu kipo clear, kazi tulifanya wenyewe sana sana mwenye gari alimtoa tu hela ya maji kwa sababu tulitumia toolbox yake...gari za mzungu ni rahisi zaidi kufanya marekebisho mwenyewe kuliko utafute mafundi kwa sababu mafundi wengi waliopo mtaani wana ujanja wa kuunga unga
Pikipiki ya kichina mpka uifungie nyama mbele Ile ukikamata Ducati unaisikia inasema tesha niongeze tesha nikimbize tesha niueHata ktk pikipiki
Kuna tofaut kubwa kati ya pikipiki za kichina na kijapani
Pipipiki za kichina hamna kitu kabisa
BMW what?Halafu Ulaya ni kawaida yao kuiaminsha dunia kuwa vitu wao na vitu vyao ni bora yakiwemo magari, laikini ukweli sio hivyo.
Kuna Mdau amesifu Speed ya magari ya mzungu
Angalia
1. Honda Accord vs BMW
2. Honda Civic type R vs BMW