Magari ya mzungu yametuacha mbali Sana Sisi akina Toyota

Nimeshangaa kuona jinsi Magari ya mzungu yakivyokuwa na utofauti na Magari yetu ya kijapan,Jana nilikuwa nasukuma ndinga BMW 320i kutoka banana Hadi Kariakoo hakika kuna utofauti Mkubwa Sana na rumion Yangu Hadi nilikuwa siamini jinsi hizi gari zilivyobarikiwa kuna nguvu, stability, comfortability na kuchanganya fasta...

aisee mnaomiliki hizi mashine mnaishi katika sayari yenu kabisa hapa TANZANIA,Magari ya kijapan nimeendesha mengi Tu Ila hizi ndinga za wazungu ziko level nyingine pia haziwezi kufanana na wajapan wetu hata nusu.

Nimejaribu kuweka picha ya BMW 320i ya 2006 na Toyota harrier ya 2006 hasa Kwenye eneo la Vyuma vinavyoshikilia tairi......

angalia picha hii ya mwisho ya Toyota harrier jinsi ilivyokuwa chini

View attachment 1864469

View attachment 1864470

View attachment 1864482
Nikizisifia hizi gari huwa NINAMAANISHA
 
Mjapani ana tengeneza gari nzuri tu na bora kama wazungu ai hata kupita (baadhi ya matoleo yake).Tatizo inategemea na market,gari za kijapana zinazokuja Afrika si sawa na zile zinazolenga soko la ulaya na America.Wanazouza kwa mabeberu zina ubora sababu mabeberu wameweka viwanho vya ubora ambavuo inabidi vifikiwe kabla hawajakupa soko lao
Mfano mzuri uingereza, katika list ya magari ambayo ni.'most reliable' unakuta zipo,
Toyota prius
Mazda mx-5
Peuoget 3008
Mazda CX-5
Toyota verso
Skoda octavia
Lexus ct
Kia sorento.
Hamna Merc wala Bmw.ivo bongo mnaletewa makanjanja ya japan,gari bora anauza kwa mabeberu kwa ufupi 'money talks'.
Kwani magari si unaagiza mwenyewe? Huko wanaponunua wazungu ukienda mtanzania wanagoma kuuza? Hakuna magari special for Tanzania, ts all about unachotaka.
 
Nimeshangaa kuona jinsi Magari ya mzungu yakivyokuwa na utofauti na Magari yetu ya kijapan,Jana nilikuwa nasukuma ndinga BMW 320i kutoka banana Hadi Kariakoo hakika kuna utofauti Mkubwa Sana na rumion Yangu Hadi nilikuwa siamini jinsi hizi gari zilivyobarikiwa kuna nguvu, stability, comfortability na kuchanganya fasta...

aisee mnaomiliki hizi mashine mnaishi katika sayari yenu kabisa hapa TANZANIA,Magari ya kijapan nimeendesha mengi Tu Ila hizi ndinga za wazungu ziko level nyingine pia haziwezi kufanana na wajapan wetu hata nusu.

Nimejaribu kuweka picha ya BMW 320i ya 2006 na Toyota harrier ya 2006 hasa Kwenye eneo la Vyuma vinavyoshikilia tairi......

angalia picha hii ya mwisho ya Toyota harrier jinsi ilivyokuwa chini

View attachment 1864469

View attachment 1864470

View attachment 1864482
Halafu vibarabara vyetu vinawabania wenye ndinga zao. Miundombinu haiendani kabisa na ndinga hizo za mabeberu. Acha tubaki na vibao vya mbuzi tu.
 
Kwani magari si unaagiza mwenyewe? Huko wanaponunua wazungu ukienda mtanzania wanagoma kuuza? Hakuna magari special for Tanzania, ts all about unachotaka.
Kweli unaweza kununua magari wanaponunua wazungu ukapata quality yao sababu hakuna magari special kwa Tanzania lakini mimi nazungumzia soko la ulaya,wana standard zao wameziweka ndo maana lexus( Toyota Harrier) utakayonunua ulaya na ukinunua toka japan kuja bongo zina viwango tofauti wakati mwengine mpaka majina yanakuwa tofauti kidogo.
 
Sawa ndio ni magari soko la ulaya ila mwisho wa siku ni wewe Mtanzania baada ya kushauriwa na fundi Juma mwenye uzoefu na testa yake mkononi ukaamua kununua Rav 4 massawe si ndio? Hukatazwi kununua UK version.
 
Nikizisifia hizi gari huwa NINAMAANISHA
Tumelogwa na Toyota Mkuu Ila kama mtu yeyote akiingia Kwenye Magari ya mzungu ni ngumu kumbadilisha
Kweli unaweza kununua magari wanaponunua wazungu ukapata quality yao sababu hakuna magari special kwa Tanzania lakini mimi nazungumzia soko la ulaya,wana standard zao wameziweka ndo maana lexus( Toyota Harrier) utakayonunua ulaya na ukinunua toka japan kuja bongo zina viwango tofauti wakati mwengine mpaka majina yanakuwa tofauti kidogo.
Upo sahihi kabisaaa
 
Mkuu Toyota ni Toyota tu na BMW ni BMW tu hata ukiendesha 1series BMW utafeel tofauti. Halafu 3 series sio luxury,ni gari ya kawaida sana. Luxury ni 7series.
Mimi sio mtaalam wa magari mkuu, kwanini Toyota anauza sana then? Sababu Top 5 ya wauza Magari Toyota anaongoza na pia Kuna Kampuni Nyengine za Ki Japan Kama Nissan na Honda.

Na ukiangalia Bei ya luxury za Toyota Na kampuni kama Ford ama BMW ni sawa ama sometime Toyota Ghali. Cruiser mpya ya 2021 ni zaidi ya 80K usd wakati kuna Ford Nyingi tu unakuta 50k. Na ni class moja.
 
Mkuu hata sijui tunaongelea nini. Ngoja nimalizie bia zangu weekend ishaanza.
 
Mimi sio mtaalam wa magari mkuu, kwanini Toyota anauza sana then? Sababu Top 5 ya wauza Magari Toyota anaongoza na pia Kuna Kampuni Nyengine za Ki Japan Kama Nissan na Honda.

Na ukiangalia Bei ya luxury za Toyota Na kampuni kama Ford ama BMW ni sawa ama sometime Toyota Ghali. Cruiser mpya ya 2021 ni zaidi ya 80K usd wakati kuna Ford Nyingi tu unakuta 50k. Na ni class moja.
German cars ni luxury cars. Zina premium features. Hata kuzimantain ni ghali sana. Ndo maana hata hao wazungu wenye vipato vya kawaida wanazigwaya.

Luxury version ya Toyota ni Lexus. Hata hizi wazungu wanazikimbia vilevile.

Bei ya LC200 ambayo ni top model ya toyata ni bei ya kawaida kwa models nyingi za german cars.
 
Ni same Class? Sababu Toyota Na Yeye ana Brand zake Classic/Luxury kama Rav 4, Highlander, Camry e
German cars ni luxury cars. Zina premium features. Hata kuzimantain ni ghali sana. Ndo maana hata hao wazungu wenye vipato vya kawaida wanazigwaya.

Luxury version ya Toyota ni Lexus. Hata hizi wazungu wanazikimbia vilevile.

Bei ya LC200 ambayo ni top model ya toyata ni bei ya kawaida kwa models nyingi za german cars.
Kuna kitu nimeshindwa kuelewa kuhusu hizi LC 300 Toyota land cruiser kwasabb hivisasa nchi kama Dubai zinatumiwa na polisi pia hata Australia nao wapo mbioni kutumia hizi gari kama gari Doria....
Ina maana ziko vizuri Sana Kwaajili ya ualifu au wameamua kuzishusha thamani?
 
Mkuu wala usihangaike kutafuta Logic Dubai, hao Wana Hadi Lamborghini za mapolisi, hawajui kazi za KUFANYIA hela zao.
 
Back
Top Bottom