Magari ya mnispaa yanapogharimu milioni 690! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Magari ya mnispaa yanapogharimu milioni 690!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Eeka Mangi, Feb 1, 2011.

 1. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #1
  Feb 1, 2011
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Jamani hii inanishangaza kidogo hivi ni kweli gari moja la kuzolea takataka laweza kugharimu milioni 115? JFW moja! Nimeona leo kwenye taarifa ya habari ya channel 10. Labda haya ni aina mpya eti!
   
 2. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #2
  Feb 2, 2011
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  wewe unaweza kuyapata kwa bei gani? weka data then tujue kuwa wameiba tena!
   
 3. k

  kabindi JF-Expert Member

  #3
  Feb 2, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 334
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ni aina gani? ni ya mwaka gani? bila shaka ni mapya maana sheria za manunuzi serikalini haziruhusu mitumba! sifikirii kama ni bei ya ajabu ukizingatia udhaifu wa Shilingi yetu! labda kama una takwimu za kutosha na isiwe hisia! unaweza pia search katika websites zinazouza magari ukishajua brand.
   
Loading...