tatanyengo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2011
- 1,134
- 1,195
Spika wa bunge la Jamuhuri ya muungano jana alipokea magari mawili ya kubebea wagonjwa yaliyonunuliwa na ofisi ya Binge. Tunaomba kujuzwa kama magari hayo yote mawili yatakuwa na wabunge tu au hata siye wananchi wa kawaida wa mjini Dodoma.