hii kawaida mpendwa, na haimaanishi kuna zengwe, ni utaratibu wa kawaida sana
kabisaHuna akili timam
jamani mmeona leo malori ya jwtz mengi yakibeba masanduku ya kura hapa na pale?mimi nimeona leo asubuhi mpaka usiku huu!nafikiri ndio yametoka ngerengere na hakuna mtu wa kuingilia jeshi.
Jamani mmeona leo malori ya jwtz mengi yakibeba masanduku ya kura hapa na pale?mimi nimeona leo asubuhi mpaka usiku huu!nafikiri ndio yametoka ngerengere na hakuna mtu wa kuingilia jeshi.
hii kawaida mpendwa, na haimaanishi kuna zengwe, ni utaratibu wa kawaida sana
Tuwe makini kabla ya kutoa topiki hapa............. na sio lazima uandike topic kama huna data za kutosha..
Huna akili timamuTuwe makini kabla ya kutoa topiki hapa............. na sio lazima uandike topic kama huna data za kutosha..
Jamani mmeona leo malori ya jwtz mengi yakibeba masanduku ya kura hapa na pale?mimi nimeona leo asubuhi mpaka usiku huu!nafikiri ndio yametoka ngerengere na hakuna mtu wa kuingilia jeshi.