Elections 2010 Magari ya JWTZ yanabeba masanduku ya kura!

BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,507
11,883
Jamani mmeona leo malori ya jwtz mengi yakibeba masanduku ya kura hapa na pale?mimi nimeona leo asubuhi mpaka usiku huu!nafikiri ndio yametoka ngerengere na hakuna mtu wa kuingilia jeshi.
 
hii kawaida mpendwa, na haimaanishi kuna zengwe, ni utaratibu wa kawaida sana
 
Kawaida hubebwa na magari ya halmashauri husika au kwa kukodi
 
Ukisha ona ivyo CCM wana hofu ya kushindwa na wanajua kukiwa na JWTZ raia hatii mguuuuuuuuuuuuu
 
Hilo jeshi la wananchi au la ccm? Naona umwagaji damu huo waja....viongozi wa Afrika wanapenda madaraka kuliko kuwahudumia wananchi...wako tayari kuua wawe madarakani
 
@Uswe naona unaitaji maombezi maalumu
shinyanga hali tete
 
Tuwe makini kabla ya kutoa topiki hapa............. na sio lazima uandike topic kama huna data za kutosha..
 
jamani mmeona leo malori ya jwtz mengi yakibeba masanduku ya kura hapa na pale?mimi nimeona leo asubuhi mpaka usiku huu!nafikiri ndio yametoka ngerengere na hakuna mtu wa kuingilia jeshi.

safari hii jk aliamua kuwatuamia wanajeshi kwa kuwa alihisi waalimu watamwangusha. Lakini kama ilivyo ada dhuluma haina rafiki baadhi ya wanajeshi wametuhakikishia kuwa wananchi tupige kura bila wasi wasi kwa kuwa hata wao wanataka mabadiliko. Watazilinda kura zote ipasavyo.
 
Jamani mmeona leo malori ya jwtz mengi yakibeba masanduku ya kura hapa na pale?mimi nimeona leo asubuhi mpaka usiku huu!nafikiri ndio yametoka ngerengere na hakuna mtu wa kuingilia jeshi.

Hii si sawa hata kidogo, tume ilisema pia mawakala wanatakiwa kuwa na uwezo wa kusindikiza hizo kura kwa uwezo/usafiri wao kama wataweza.Je kwa utaratibu kama huo unaona hilo litawezekana, je haiziwezekani kubadirishwa along the way? Si sawa hata kidogo ndio mikakati ya kuiba na kuharibu matokeo halali hii.
 
hii kawaida mpendwa, na haimaanishi kuna zengwe, ni utaratibu wa kawaida sana

Uswe una walakini! Wala hilo halina hata ubishi ni kawaida gani hiyo?nini kazi ya Tume, hela zote wanapeleka wapi?
 
Tuwe makini kabla ya kutoa topiki hapa............. na sio lazima uandike topic kama huna data za kutosha..

Unataka data gani zaidi kama kaona, hukusikia ZNZ pia wamebeba wao, unadhani maana yake ni nini? Acha unafiki wewe!
 
Jamani mmeona leo malori ya jwtz mengi yakibeba masanduku ya kura hapa na pale?mimi nimeona leo asubuhi mpaka usiku huu!nafikiri ndio yametoka ngerengere na hakuna mtu wa kuingilia jeshi.

Mbona lorri moja la jeshi lilipeleka maboski ya kura pale Loyola na Mnyika ameshinda! Tayari kuna majasusi barabara kuu na za kijeshi kuona kama kuna flow ya magari kutoka huko. Pia mawakala wako makini.
 
Back
Top Bottom