Magari ya gesi CNG

saidow masaka

Member
Aug 14, 2016
31
48
Habari, autogas tanzania ni kampuni ya kufunga gesi kwenye magari, tunatoa hiyo huduma kwa uber kwa awamu tatu ,
Autogas inasave 60% gharama za mafuta 150-200km kwa 15,500/-
Call 0626151427
Whstp 0688181619
masaka%20design33.jpg
FB_IMG_16195206216874032.jpg
FB_IMG_16187517303317800.jpg
 
Nimemaliza.. karibu
Nakaribiaje wakati hujaweka bei na details za muhimu.

Mkuu kaa chini uandike vizuri. Uandike kitu kinachoeleweka.

Zaidi useme mko wapi??, ujazo wa gesi na bei yake na umbali kulingana na ujazo Pia tuambie ukishafunga hiyo system maeneo ya ku refill hiyo gesi ili tusije tukajinunulia gesi ya matumizi ya nyumbani.
 
Nimeweka number za simu hapo whatsap na calls. Kila gari inaspecification zake mkuu.
 
... mtungi kama unaoonekana kwenye picha ukiwa full on average kwa SUV kama Xtrail, Rav4, etc. (1900+ cc's) naweza kwenda km ngapi? Ndio hizo 150 - 200km? Kama ndivyo medium long safari like Arusha, Iringa, Singida, etc. unaingia "sheli" hadi basi wakati petroli refilling breki ya kwanza Moshi.

Anyway, ni mwanzo mzuri ila itachukua muda kufikia level ya petrol/dizeli.
 
Yeah... Hii ni kwa wateja wa dar tu, kwasbb ndio cng ipo huku..
 
Nikitaka kurudi kwenye mfumo wa petrol, ni rahisi kiasi gani? Naweza badilisha mwenyewe (say kwa kubonyeza button fulani) au ni jambo linahitaji ufundi mkubwa? Nafikiria gesi ikiisha sehemu ambapo hakuna station ya ku refill gas karibu.
 
Mkuu sikuaribii biashara lakini hii mitungi inayowekwa hapa Bongo kweli ni salama? Watu wa TBS wameyajaribu haya magari in 'deliberate' crashes wakaona ni salama kweli? Nijuavyo mimi hiii mitungi inakuwa reinforced chini na hapo ndio 'chasis' inakuja juu (angalia picha) kukitokea kungongana hakuna madhara kama hii yetu ambayo mie nadhani tunatembea na 'mabomu'.
1620737258205.png
 
View attachment 1780918
Tunao wakaguzi wa haya magari kila baada ya miezi 6. Kuna company zinafunga second hand kweli ila kwangu cylinder ni mpya. Na mim ni mtaalamu nimesoma mpk kukagua gari la gesi na mtungi wake. Tofauti na kampuni nyingine
IMG-20210413-WA0000.jpg
 
Tunao wakaguzi wa haya magari kila baada ya miezi 6. Kuna company zinafunga second hand kweli ila kwangu cylinder ni mpya. Na mim ni mtaalamu nimesoma mpk kukagua gari la gesi na mtungi wake. Tofauti na kampuni nyingine

Tunao wakaguzi wa haya magari kila baada ya miezi 6. Kuna company zinafunga second hand kweli ila kwangu cylinder ni mpya. Na mim ni mtaalamu nimesoma mpk kukagua gari la gesi na mtungi wake. Tofauti na kampuni nyingineView attachment 1780925
Safi. TBS wamefanya deliberate crash kuona safety au ni nyie tu mnafanya ukaguzi wenu?
 
Tbs hawana watu wenye qualification ndio maana sisi tunafanya under tbs.. though kila cylinders zinazokuja lazima zifanyiwe documentation parameter za testing pressure ambayo ni 300bars without rapture. And working pressure ni 200bar. Lazima ziwe documented
 
Mkuu hebu mngekuja kisasa kidogo mngejaribu kutoa tank za mafuta na kuziwekea patisheni kwa ndani walau robo tatu gas na robo petrol na ifungwe ilipotoka ya awali sasa kama hicho kigari pichani buti imejaa mtungi wa gesi na mizigo tutahifadhi wapi kama Sie wenye passo,nyuma nna spika kama huo mtungi na kibegi kimoja niwapo safari sasa Leo spika+mtungi+mabegi si nitakosa hata sehemu ya kupakia watoto,kuweni na huruma.
 
Yeah ni kweli . Tutaifanyia kazi kuiweka sawa.
 
Back
Top Bottom