Magari ya Frester Yamegeuka kuwa Makanisa

Leo naona Mchungaji kaja na Kuombea Korona..... Haya mambo yanakera sana.

Nimepanda gari ama Kanisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ulivokasirika wapo walimshukuru mchungaji au mwinjilisti huyo.... kwenye usafiri huwa kuna vingi..kuna nyimbo zinapigwa na zingine zinakera watu sana maana ni naked full...kuna kwaya na kuna taarab..na kuna nyimbo za dini ya kislam n.k baada ya yey kumaliza ungeomba na wew uhubir dini yako nafikir si mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za Jioni.

Mimi ni mteja mkubwa wa Magari ya Frester (Kahama- Mwanza). Haya magari kwa siku za karibuni yamegeuka kuwa makanisa.

Leo naona kuna Mchungaji kaja na wazo la kuombea Korona.......

Hii tabia inakera sana.... Sio kila mmoja ni Mkirsto...

Heshimuni nyumba za Ibada..

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hata muisilam anaruhusiawa tu,acha nongwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ubovu wao wakishamaliza maombezi wanakusanya sadaka. Ni kama unalipa alichokifanya.
Si bora niombee safari yangu me mwenyewe.
Halafu wanapanda mabasi bure kwahiyo wanadrop popote na kudandia Basi la frester linalokea upande mwingine,
Kumbe serikali ilishaweka kanuni kuhusu hili Jambo lakini Hawa frester wanavunja sheria makusudi
 
Habari za Jioni.

Mimi ni mteja mkubwa wa Magari ya Frester (Kahama- Mwanza). Haya magari kwa siku za karibuni yamegeuka kuwa makanisa.

Leo naona kuna Mchungaji kaja na wazo la kuombea Korona.......

Hii tabia inakera sana.... Sio kila mmoja ni Mkirsto...

Heshimuni nyumba za Ibada..

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulitaka mwenzako sadaka akaivune kwa nani Kama sio kwa abiria Kama wewe ?
 
Dawa yao ni kushuka utafute linalofanana na msikiti
Habari za Jioni.

Mimi ni mteja mkubwa wa Magari ya Frester (Kahama- Mwanza). Haya magari kwa siku za karibuni yamegeuka kuwa makanisa.

Leo naona kuna Mchungaji kaja na wazo la kuombea Korona.......

Hii tabia inakera sana.... Sio kila mmoja ni Mkirsto...

Heshimuni nyumba za Ibada..

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za Jioni.

Mimi ni mteja mkubwa wa Magari ya Frester (Kahama- Mwanza). Haya magari kwa siku za karibuni yamegeuka kuwa makanisa.

Leo naona kuna Mchungaji kaja na wazo la kuombea Korona.......

Hii tabia inakera sana.... Sio kila mmoja ni Mkirsto...

Heshimuni nyumba za Ibada..

Sent using Jamii Forums mobile app
Siwezi kushangaa mmiliki wa magari ni bonge la mlokole , nahic imani imepanda mpk anachanganya biashara na imani yake hilo ni baya sana ,kila mtu ana imani yake ......tuheshimu na pia mambo ya kuhubiri kaenye magari yalishapigwa ban na sumatra

sent from toyota Allex
 
Hiyo LATRA inasimamia nini? Au ni mamlaka ya nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
LATRA ni mrithi wa SUMATRA, SUMATRA alikua anasimamia usafiri wa ardhini pamoja na majini. Wameamua kuunda LATRA ambayo inasimamia usafiri wa ardhini pekee. Kwa maelezo hayo basi LATRA ni mamlaka ya usimamizi wa usafiri wa ardhini.
 
Habari za Jioni.

Mimi ni mteja mkubwa wa Magari ya Frester (Kahama- Mwanza). Haya magari kwa siku za karibuni yamegeuka kuwa makanisa.

Leo naona kuna Mchungaji kaja na wazo la kuombea Korona...

Hii tabia inakera sana.... Sio kila mmoja ni Mkirsto...

Heshimuni nyumba za Ibada..

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani haya mambo ni ajabu sana utasema nyumba za ibada hatuzijui?
 
Kama ulivokasirika wapo walimshukuru mchungaji au mwinjilisti huyo.... kwenye usafiri huwa kuna vingi..kuna nyimbo zinapigwa na zingine zinakera watu sana maana ni naked full...kuna kwaya na kuna taarab..na kuna nyimbo za dini ya kislam n.k baada ya yey kumaliza ungeomba na wew uhubir dini yako nafikir si mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app
Hatuwezi kufanya hivyo. Itakuwa vurugu tupu. Mahali pa ibada ni kwenye nyumba za ibada na siyo kwenye mabasi ya abiria. Hao ''wachungaji'' hawaombei chochote bali wanatafuta kula yao kwa ujanja. Infact wao ndoyo wanatakiwa kuombewa!
 
Habari za Jioni.

Mimi ni mteja mkubwa wa Magari ya Frester (Kahama- Mwanza). Haya magari kwa siku za karibuni yamegeuka kuwa makanisa.

Leo naona kuna Mchungaji kaja na wazo la kuombea Korona...

Hii tabia inakera sana.... Sio kila mmoja ni Mkirsto...

Heshimuni nyumba za Ibada..

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani huko hakuna magari mengin mpaka uwapangie watu jinsi ya kuendesha biashara zao?
 
Back
Top Bottom