Magari ya Dangote yanapata ajali kila mara, shida nini?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,553
44,722
Kila siku lazima yapate ajali mbili mpaka tatu mnafeli wapi ni ishu ya mifumo au tatizo nini madereva wenyewe au mizigo mnabebeshwa mizito sana fanyeni uchunguzi wa kina hii ni hasara.

Mbona specialized haulers wenyewe hawapati ajali sana kama nyie?
 
Okay....
Dangote ameajiri uncompleted drivers ambao ni cheep labors.
Sasa.....
Hii imepelekea magari yake mengi kupata ajali ambazo zingeweza kuepukika ikiwa asingekua bahili
 
Kila siku lazima yapate ajali mbili mpaka tatu mnafeli wapi ni ishu ya mifumo au tatizo nini madereva wenyewe au mizigo mnabebeshwa mizito sana fanyeni uchunguzi wa kina hii ni hasara.

Mbona specialized haulers wenyewe hawapati ajali sana kama nyie?
Ni masharti ya mganga
 
Back
Top Bottom